USIKU WA HONEYMOON (season 2 Final)

book cover og

Utangulizi

Endelea nayo

MSIMU WA PILI
USIKU WA HONEYMOON 21
HUSQER BALTAZAR
Basi selestine akanisogelea kisha akaanza kunikiss, ila namna ambavyo alikuwa ananikiss nilipata hisia kama nilishawah kukisiwa kama vile, ila nani ndio shida, na katika kumbukumbu zangu, nilikuwa naamin kuwa bado nilikuwa na usichana wangu , Lakin Yule mwanaume kila ambapo alikuwa ananigusa, alikuwa ananigusa kwa hisia za hali ya juu sana, kiasi kwamba alikuwa anasisimka kwa kila mguso anaonipa, akaanza utundu wake sasa, akaanza kuniandaa kwa ustadi mkubwa sana, yaan katika maisha yangu sikuwah kuandaliwa, sasa raha ambazo nilikuwa nazipata kwa maandalizi ya selestine zilikuwa kubwa sana, yaan mpaka nikajikuta natoa mwenyewe kelele za mahaba bila kutaka, na ile miguno yangu ndio ikawa inazidi kumpandisha mizuka…

Basi akaniandaa pale kwa karibu nusu saa, mpaka nikawa hoi sijiwezi, yaan nasubiri tu amalize shughuli, na alipoona kuwa sina hali akaanza kazi sasa, “ ahhhh mamaaaa, wewe ni mtamu ,mungu wangu ashhhh, akawa analalamika pale, basi akafanya yake na wakat huo mimi mwenyeqe nilikuwa na hisia mno, so kila mmoja kati yetu alikuwa anataman mwenzake asiondoke, maana kila mmoja alikuwa anauhisi utamu wa mwenzake…

Nilishangaa kwanini sikuwa naumia na nilikuwa naamin ukitolewa usichana lazima uumie au hata kadamu flani hivi katoke, ila kwangu ilikuwa ni tofauti sana…
Basi zoezi likaendelea mpaka majira flani hivi ya usiku mkubwa, nilikuwa hoi ila nikajikuta nimeropoka na kusema, “ hivi kumbe siku hizi ukitolewa usichana huumii na wala damu haitoki, nikauliza kwa sauti ya kichovu, aiseee selestine alicheka sana kisha akasema “ usitake kunambia hata mimi haujui ni nani?...

Lilikuwa swali la kawaida sana, ila kiukweli sikuwa namkumbuka, ikabidi nijibu kuwa simfahamu….
Selestine aliniangalia kwa sekunde kadhaa kana kwamba alikuwa anasoma kitu kwenye uso wangu, akanikiss na kunipapasa papasa pale kwa dakika kadhaa, kiukweli nilikuwa nimechoka ila nilikuwa nasisimka sana, basi tukapiga kwa mara nyingine tena,na baada ya kumaliza hapo kila mtu akawa kachoka mno, binafsi nilipitiwa na usingizi, nimekuja kuamka ni asubuh na selestine hakuwepo kabisa, nikakuta ujumbe kwenye zile side table, ilikuwa ni karatasi imeandikwa “ nimeenda kazin mrembo wangu, najua ni mara ya kwanza tunaonana ila nahisi kama wewe ndio ule ubavu wangu ambao mungu aliniandikia, naomba usiwaze hata kwa bahat mbaya kuondoka pemben yangu, na kuna wahudumu watakuja utakapoamka na watakuhudumia kila unachokitaka, nikajikuta natabasamu…

Basi nikiwa najinyoosha nyoosha pale, mara nikasikia mlango umefunguliwa kwa fujo, kuhamaki namouna Yule madam glory ambae aliniingiza kwenye lile casino, nilikuwa nimeshamsahau kabisa yaan…
Alinifata mpaka kitandani kisha akaniweka vibao na kusema “ hivi unajikuta nani wewe…
“ umemaanisha nini mbona sikuelewi? Na mimi nikamuuliza…

“ nimekuokota ukiwa haujitambui na kukuleta kwenye kazi yangu, alafu unakuja kunichukulia bwana angu, selestine ni mwanaume wangu, na hatakiwi kuwa na mwanamke mwingine yoyote Yule zaidi yangu, alafu unatokea wewe kahaba mmpoja unaanza kumteka, labda nikuambie tu, kama umezoea kucheza cheza basi safar hii umecheza na moto, kipindi kile nilikuwa mnyonge sana, na una bahat mno, maana nilikuleta hapa kuteseka ila unajikuta unanizunguka na kutaka kunitesa, basi safari hii umechaza pabaya….

“ kwani kosa langu ni lipi madam, ulitaka mwenyewe nikacheze alafu unakuja tena kunitukana, kosa langu ni lipi hapo mamaaa? Nikawa nauliza…
“ kosa lako kubwa ni kukubali kulala na selestine wangu, selestine ni wangu, na hakuna kiumbe hata mmoja dunian anaruhusiwa kuwa nae zaidi yangu, akasema kwa sauti ya hasira kisha akatoka mlangoni na kumuita mtu, alikuwa sijui ni nani, ila alikuwa jamaa flani hivi ambae alikuwa amevalia suti nyeusi, akaja na kunibeba juu juu, kisha wakanirudisha kwenye casino, nilipofika kwenye casin madam glory akanifata kisha akasema “ siunapenda sana kuikalia, embu tuambie uliikalia vipi….
NAKUJA…..


USIKU WA HONEY MOON 22
HUSQER BALTAZAR

Maneno yake yalikuwa yananifanya nisikie aibu mno, na sikujua ni kwanini alikuwa anasema vile, mara akaagiza watu walete chupa niikalie, kama nilivyofanya kwa selestine, nilijikuta naanza kupatwa na wasiwasi mkubwa, maana nilikuwa nasikiaga tu watu wanakalia chupa ila sijawah kuona, ndio nakuja kukalishwa kwa lazima, nikajikuta naomba msamaha, maana sikuwa najua kama selestine ni mwanaume wa mtu….

“ moja ya kitu ambacho sijawah kujaliwa kwenye maisha yangu ni huruma, ulikuwa unatakiwa ufikirie kabla ya kwenda kumtega mwanaume wangu,kipindi kile nilikuachia na yote yaliokukuta ni mimi nndio nahusika, ila haujakoma kabisa wewe Malaya, safar hii nitahakikisha natoka na roho yako, na huo msamaha ambao unaniomba Ulikuwa unatakiwa ufikirie kabla ya kwenda kulala na mwanaume wangu, yaan mwanaume wangu ananikwepa kwa kipindi kirefu alafu anakuja kulala na wewe, unafikiri mimi najisikia je, kama mpenzi wake, sasa haya maumivu ambayo nimeyapata na wewe unatakiwa kuyapata mara dufu, maana unajikuta mrembo sana na mwenye mvuto sana si ndio, akawa anasema madam glory…

Sikuwa na cha kufanya wakat huo zaidi ya kulia, nililia sana maana ndio kitu pekee ambacho nilikuwa naweza kufanya, na watu wote waliokuwa pale walikuwa wanacheka, tena kile kicheko cha dharau na wengine wakawa wamenishika wanataka kunitanua ili wanikalishe kwenye chupa mara tukasikia sauti ya kiume inasema “ mnafanya je ?....
Kila mtu akageuka kuangalia pahala ambapo sauti inatokea, alikuwa ni selestine, akasogea mpaka nilipo kisha akaniinua maana nilikuwa nimekaa chini, akatoa koti lake na kunifunika kisha akasema “ mnataka kumfanya nini?......

“ samahan selestine tulikuwa tunamfundisha kazi ipoje maana tunataman kukuona ukiburudika zaidi, akasema madam glory, ila selestine hata hakuongea na mtu, akaja mpaka nilipo, akanibeba kisha tukaondoka zetu…

Nilihisi kama selestinr ni mtu mkubwa, ila sikuwa najua hata anafanya kazi gani pale, nilishasahau kila kitu kinachomuhusu kabisa yaan, ila niliona namna watu walivyokuwa wanatetemeka wakat wanamuona , nikaanza kujiambia kuwa natakiwa kumnogesha mpaka awe mlinzi wangu na ikiwezekana hata anisaidie kumkomesha shangazi na mume wake, maana wamenitesa sana….

Hatukwenda nyumban, akanipeleka kwenye hotel mpoja ambaypo ilikuwa maeneo hayo, kisha akaniuliza “ vipi umekula?...

Kwa kweli toka nimeamka sikuingiza hata tone la maji mdomoni mwangu, sasa sikutaka kuvunga, nikamuambia ukweli kuwa “ kuanzia nimeamka sijapata bahat ya kuingiza kitu tumboni…

Basi selestine akaamka kisha akatoka nje na baada ya dakika chache akarudi na kimeza kile cha kuendesha, kilikuwa na kila aina ya kitafunio, basi akataka nile na mimi sikuvunga kabisa, maana kwanza nilikuwa na njaa, maana shughuli niloyofanya usiku na selestine, ukijumlisha na nguvu nilizozipoteza wakat nalia, na kumuomba madam glory anisamehe kwa kosa ambalo nilikuwa na uhakika kama ni langu au laaaa…….

Basi nikiwa nakula selestine akawa ananiangalia sana, yaan mpaka nikawa naona aibu, basi nimemaliza kula hata hakunisemesha, na badala yake akachukua vyombo akavitoa nje, kisha akarudi pale chumban kisha akakaa pemben yangu, akawa ananiangalia tu…

“ mbona unaniangalia sana, ikabidi na mimi nivunje ukimya….
“sijui nimepatwa na nini, maana macho yangu yanakataa kabisa kuangalia pemben kila ukiwa karibu yangu, akasema selestine mpaka nikajikuta natabasamu…

“ ila unaonekana kama ni mtu hatar sana, usije kukuta ni jambazi,maana lile eneo inaonekana kama hawakai kabisa watu wa kawaida, nikasema, na selestine akaniangalia kisha akacheka na kusema “ nataman kukuambia ukweli wangu, ila sijui kama utaniamin au laa…

“ ehee nambie, nikajibu…
“ ni kweli Yolanda haunikumbiuki kabisa, yaan haukumbuki kama umeshawah kukutana na mtu kama mimi kwenye maisha yako? Akauliza selestine, ni kweli sikuwa namkumbuka ila nilishangaa amelijua vipi jina langu….

Nikajikuta naingiwa na wasiwasi mkubwa kisha nikamuuliza “ umejuaje jina langu wewe?...
Akacheka kisha akasema “ mimi nikitaka kitu lazima nikipate, hii kauli ndio ilizidi kuniaminisha kuwa huyu selestine ni mtu hatar sana….
NAKUJA……

USIKU WA HONEYMOON 23
HUSQER BALTAZAR
Selestine ni kama aliuona uoga mkubwa machoni mwangu juu yake, akasogea na kunishika mkono kisha akasema “ glory ananipenda sana na ndio maana ananiogopa maana anaogopa kunipoteza, ila mimi ni mfanyakazi wa kawaida sana kwake, na sina mshahara wala madaraka yoyote yale…
Kwa namna alivyokuwa anaongea, nikajikuta namuamin kabisa, kumbe ni bonge moja la mafia, tena anaeogopeka kabisa yaan….
Basi wakat huo huo nikafungasha vitu na nikaanza kuondoka na selestine, hapo nahisi anafanya kazi za kawaida sana, akaenda kupangisha apartment ya kawaida, na nahisi kodi ilikuwa nafuu sana pale, yaan nyumba haikuwa na mambo mengi, kulikuwa na kitanda na godoro, jiko, fridge na makabat mawili, yaan hata vyombo anavyo vichache sana….

Tukaanza kuishi rasmi na selestine, alikuwa ananipenda sana, alikuwa yupo tayar kufanya kila kitu kwaajili yangu, alikuwa ni zaidi ya mwanaume kwangu, akanisahaulisha kila kitu, akanisahaulisha mateso yote ambayo nimeshawah kupitia kwenye maisha yangu, nilikuwa nahisi kama nimepata bahat kubwa sana…

Basi maisha yakawa yanaendelea na sikuwah hata mara moja kumuona Selestine anaenda kazin, ila tulikuwa tunakula vizuri na kuvaa kila ninachokitaka, nikiuliza akawa ananambia kuwa anakazi zake za mtandaoni, ambazo anazifanya na kiukweli sikuwa najua ni kazi gani, na wala sikutaka kuuliza maana kila ninachokitaka alikuwa ananipa tena kwa wakat kabisa yaan…..

Siku moja tulikuwa tyunakula selestine akawa ananiangalia sana mpaka nikawa naogopa, na baada ya kuniangalia akaniuliza kwa sauti yake tulivu na kusema “ ni kweli haunikumbuki mamaa…
“ hili swala lilikuwa la kawaida sana masikion kwangu, maana mara kadhaa alishawah kuniuliza, ila siku hii aliniuliza kwa utulivu zaidi mpaka nikahisi kama ni kitu cha msingi sana, na kusema “ mimi sikukumbuki kabisa selestine, kwani tulishawah kukutana kabla ya hapa?...

“ ulipatwa na nini Yolanda mamaa, mpaka ukawa unasahau matukio muhimu ya maisha yako? Akauliza selestine…
“mama yangu wa kambo na baba yangu wanasema kuwa nilipoteza kumbukumbu, ila mimi najiona kama nipo sawa, sasa sijui walikuwa wanamaanisha nimepoteza kumbukumbu kwa namna ipi…

Selestine akashusha pumzi kisha akasema “ sikuwa najua, sasa hapa umefika kwa daktar wako, na muda sio mrefu utakumbuka kila unachotaka kukumbuka mamaa…
Nikatabasamu tu pale na wakat wote huo selestine alikuwa ananiangalia kwa sura ya bashasha kubwa sana….

Basi maisha yakawa yanaenda na selestine alikuwa ananipenda sana, yaan ningekuwa sijatoroka nyumban, basi ningemuambia akajitambulishe kwetu, maana alikuwa ni zaidi ya Baraka kwenye maisha yangu…

Siku moja nikiwa nimekaa zangu ndani, alikuja Yule glory, safar hii alikuja kistaarabu sana mpaka nikawa na wasiwasi mkubwa sana, akaja na kusema “ najua selestine anakupenda sana, ila unajua unaishi na mtu wa namna gani?....

“ una maanisha nini? Na mimi ikabidi nimuulize….
“ na maanisha kwamba unakaa na jambazi tena muuwaji mkubwa, akasema glory kwa sauti ya msisitizo sana, sijui ni kwanini nilikuwa na wasiwasi sana, na nahisi lilikuwa lengo lake kunifany niogope na kweli niliogopa sana, na hata selestine aliporudi sikuwa na raha nae kabisa, akanisogelea na kuniuliza nina shida gani, nikamuambia sitaki kukaa na jambazi na nataka kwenda kwetu, aiseee alicheka sana kisha akasema “ utake utakaa na mimi na usipotaka utakaa na mimi, yaan kiufupi mimi nsiachikagi, yaan ukiniacha kama hujaniacha vile, embu kajimwagie ,maji kisha uje tuendelee na mapenzi yetu, akasema kisha akaondoka zake…..

NAKUJA….



USIKU WA HONEYMOON 24
HUSQER BALTAZAR


Siku hio nilishinda kwa wasiwasi mkubwa sana na selestine alikuja kurudi usiku sana wa siku hio, na kupitiliza moja kwa moja chumban kwangu, nilikuwa nimelala ila alipofungua mlango nilisikia na kufungua macho yangu, hata hakuwasha taa bali alikuja na kukaa pemben yangu kisha akaanza kusema “ sijui kama unakumbuka kipindi kile niulichokununua mamaa, sikukunua kwa sababu nataka kukutesa ila nilikununua kwa sababu nakupenda sana, sijui ulinipa nini ila kuanzia kwenye ule usiku wa honeymoon yako ni kama uliweka alama ya ajabu sana kwenye moyo na maisha yangu, kuna muda mpaka nahisi huenda uliungwa vyema kuliko wanawake wote duniani, nakupenda sana Yolanda, naomba usiendelee kunisumbua maana utazidi kunichukia, maana huwa nikisha kuwa na hasira nafanya mambo ya ajabu na najua nitakuja kujutia baadae….

Nilisikia kila kitu ambacho aliukisema selestine ila sikuwa nakumbuka chpochote kile kuhusu honeymoon, nikajikuta naropoka na kusema “ ila wewe ndio mwanaume wangu wa kwanza na ndio umenitoa usichana wangu, na sijawah kuolewa kwanini unasema maswala ha honeymoon…

Nikashangaa selestine anacxheka, kisha akasema “ ni kweli mimi ndio mwanaume wako wa kwanza ila ile siku unayoikumbuka haikuwa mara yangu ya kwanza kulala na wewe, kwa maana hio nimeshakugeuza kama kambali mara nyingi tu, ila unatakiwa unoheshimu kama mwanaume wako wa kwanza umesikia, akasema selestine kisha akanisogelea na kunikiss kwenye paji la uso kisha akasema “ nakupenda sana Yolanda kisha akaondoka zake…

Mpaka muda huo sikuwa nimekumbuka kitu kabisa, kuna muda kichwa kilikuwa kinaniuma sana, yaan alikuwa anapambana sana kuniletea dawa ila kichjwa hakikuwa kunasikia dawa kabisa, na cha kushangaza, hata niumwe kiasi gani, ila akinihitaji kimwili anakuja, na nikikataa ni analazimisha kisha anaondoka zake……

Siku moja alikuja chumban kwangu, na mimi huwa sitoki, na hata nikitoka natakiwa kupitia mlango wa nyuma na sikuwa najua ni kwanini, siku moja aliniletea chakula chumban mara nikasikia sauti ya mtoto ikisema “ daddy I want my mom…
“ where are you dad I want my mom, ni kama selestine alikuwa anazuga zuga ila nikamuuliza “ kumbe una mtoto, usikute na mke unae alafu unakuja kuninyanyasa hapa , nikawa nasema ila selestine akatabasamu kisha akanigeukia taratibu na kuanza kuniangalia machoni kisha akasema “ mtoto ninae kweli na nataka kuzaa mtoto wa pili na wewe, ila mke sina na sijawah kuwa nae hata mara moja kwenye maisha yangu, ila nilishawah kumpenda mwanamke mmoja hivi, nilimpenda sana ila ubaya ni kwamba amenisahau, na hakumbuki chochote kile kuhusu mimi nay eye, akasema selestine, sasa tukiwa tunaongea pale Yule mtoto akaingia, ila nilipomuona nilistuka sana, alikuwa wakiume ila amefanana sana na marehemu mama yangu, nikajikuta taratibu namsogelea na alikuwa na miaka minne tu, ila alikuwa anaongea huyo kama mtambo wa sauti…

“ mamy , kakaita kale katoto..
Nilijikuta moyo wangu unakuwa na amani kubwa sana, nilikashika na kukakumbatia kisha nikamuuliza unaitwa nani?...
“ I am the prince of this empere, my day said, kakasema kale katoto, nilitaka kukakatia maana kanaongea engilish kana kwamba kamenipeleka shule na mimi mwenye lasaba B…

Nikageuza macho yangu na kumuangalia selestine alikuwa anatabasamu tu, ikabidi nimuulize kwanini anatabasamu pekee yake…
“ mfano wewe ndio ukawa mama yake, unaweza kuniahidi kumlea vizuri? ..
“ hata kama nisipokuwa mama yake, ila amefanana sana na marehemu mama yangu mpaka nashangaa kuna uhusiano gani hapa, maana kwa kumbukumbu zangu nilikuwa najua kuwa sikuwah kuzaa wala kuwa na mtoto, sasa inakuwaje huyu mtoto anafanana na mama yangu?….
ITAENDELEA ….


USIKU WA HONEYMOON 25
HUSQER BALTAZAR
Yolanda mamaa, naomba uwe mama wa wanangu, akasema selestine…

Sikuwa na jibu lolote lile la kumpa kwa maana sikuwa najua kama nampenda selestine au laa…

Ila moyo wangu ulimpenda sana Yule mtoto kiasi kwamba nikawa nataka kila dakika nikae nae, namna ambavyo alikuwa ananiita mamy, nikawa najiona kabisa kama mama yake, na sijui ni kwanini hawakuwah kunionesha yule mtoto kwa kipindi chote kile, nikaanza kumuonea huruma selestine na kuamin zile asira zake ni kwa sababu ya kulea mtoto pekee yake, nikaanza kuwa mstaarabu mpaka akawa ananishangaa…

Akaanza kuogopa na kunambia kuwa nina shida gani, “ sina shida yoyote ile , ila nimekuonea huruma sana kwa sababu najua sababu za roho yako kuwa mbaya ni kwa sababu ya kutelekezewa mtoto, sio kazi rahisi kulea mtoto pekee yako, naahidi sitakusumbua na nitamlea mwanao kama mwanangu wa kumzaa kabisa….

Basi maisha yakawa yanaendeelea, na selestine alibadilika akawa mwema sana kwangu, hakuwa ananilazimisha tena kufanya mambo ya ajabu ajabu, alikuwa ananichukulia kama mke wake kabisa, na akawa ananitambulisha kwa jamaa zake, kila mtu akawa ananiheshimu kama mwanamke wa selestine…

Siku moja nikiwa zangu sina hili wala lile, akaja glory, sasa safar hii alikuja kwa shari, akanifata kisha akanambia kuwa “ selestine hakupendi wewe ananipenda mimi…

Sijui kwanini nilikuwa naumia baada ya kumsikiliza glory, roho ikawa inaniuma sana, nikawa nahisi kama kawivu flani hivi, nikawa nataman nilie ila nikajikaza…

Akaongea zake pale na sikuwa namjibu chochote kile, maana roho ilikuwa inaniuma sana, alivyoona simjibu akaaondoka na kuniahidi kuwa atarudi na akanambia kuwa atahakikisha kuwa naachana na selestine kisha akaondoka zake…

Nilikaa chini nikaanza kulia, Yule mtoto akanifata kisha akanambia “ why are ypou cring mamy….

Yaan haka katoto sijui wamekilea vipi maana hakaongei Kiswahili kabisa, sijui ananichukulia kama mimi ni mzungu na hii rangi yangu, japo kuwa Kiswahili anasikia ila sijawah kumzikia akiongea Kiswahili kabisa….

Basi selestine alikuja kurudi usiku, anakawaida kila akirudi anakuja kuniona ananikiss, na kuna muda anataka nile nae, alikuja akijua kuwa nitakuwa nimelala ila nilikuwa macho na moyo ulikuwa unaniuma sana kiasi kwamba sikupata hata tone la usingizi….

“ vipi mrembo wangu mbona haujalala mpaka sasa hivi, akasema selestine…
Nikajikuta naanza kulia, nililia sana, na kila selestine akiniuliza nalia nini nilikuwa nazidi kulia, akaanza kunibembeleza sasa, nikalia kwa kiasi changu mwisho nikasema “ glory amekuja kunitukana sana, anasema wewe ni mwanaume wake na nikuache, naomba nikuachie mwanamke wako na mimi niache niendelee na maisha yangu, selestine akanikiss kwenye lips kitu kilichonifanya nisiongee, maana niolikuwa naongea sana kama nimemeza redio…..

“ mamaa sitaki kuamin kama umeanza kunionea wivu, akasema …
“ nani mimi? Yaan kwanini nikae nikuonee wivu, kwani mimi ni mpenzi wako, wewe si umeninunua, kwa hio mimi ni mfanyakazi wako wa ngono, nikasema ila selestine akanizuia kisha akasema, “ wewe sio mfanyakazi wangu ni mke wangu, na nakupenda sana, najua umeumia sana ila huwez amin najisikia vizuri sana maana angalau leo umenionea wivu, nakupenda sana Yolanda na nataman ukumbuke kila kitu kuhusu sisi, maana tulishawah kupendana snaa, na tumeshawah kuwa na kumbukumbu nzuri kwenye maisha yetu…

NAKUJA…


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote