SUMMER (Tulizo La Moyo Wangu)

book cover og

Utangulizi

Kutana na Kijana seven, Kijana aliyelelewa kwenye maadili, lakini pia ni Kijana mtulivu sana, kwenye maisha yake Ameweka amani mbele kuliko ushindi.
Seven anangukia kwenye penzi zito la binti LIDYA binti wa mjini, Lidya ni binti wa madrama sana Jamani, ni binti ambaye Kama Hauna moyo imara lazıma ufe na presha.
Lidya anampiga matukio mfululizo Kijana wa watu seven lakini seven anang’ang’ana, Mwisho seven anakuja kupata msaada kutoka kwa binti wa afu mbili anayejulikana Kama summer….
JE SUMMER NI NANI MPAKA ANAMSAIDIA SEVEN ?
TUKUTANE NDANI NDANI UKU TUKAJUE KWANINI NI SUMMER TULIZO LA MOYO WANGU….

SUMMER (Tulizo la Moyo Wangu)
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
SEHEMU YA: 01
MAWASILIANO: www.tupohapa.com
ANZA NAYO……

Niite Seven, kijana mtaratibu na mtulivu mno, maisha ya utulivu Ndio maisha niliyokulia tangu utoto Wangu, nimekulia kwenye familia ya watu wa maisha ya kawaida kabisa sio masikini sio matajiri.
Baba yangu Mara nyingi Amekuwa Mtu wa kunifokea sana na kuniambia nichangamke niwe Kama mwanaume, kauli ya baba yangu ilikuwa tata Sanaa lakini kwa upande Wangu nilichukulia kawaida.
Kwenye maisha yangu nilijiambia kuwa Amani ni bora kuliko ushindi, niliuruhusu moyo wangu upate amani na washindani Wangu wapate ushindi Kama walivyotaka.
Sikuwai kuwa na ugomvi na watu na Mara nyingi kwenye macho ya watu nilionekana mgembe, watu Wengi walitumia life style yangu Kama fimbo katika kuniumiza lakini sikuwatilia maanani kabisa.
Kwenye maisha yangu nimekuwa Mtu wa kuheshimu watu na Mara nyingi niliwaogopa aswaaah wanawake, Yaani mimi Ukiniweka na wanawake nakuwa bubu kabisa.
Naweza kusema kuwa kwenye maisha yangu nimeteseka sana na upwiru 😂🙌, sina mwanamke na bado wanawake nawaogopa unafikili ningesaidikaje Mimi 🥹.
Seven Mimi baada ya kumaliza chuo kikuu, nilisota sana Mtaani kutokana na kukosa ajila, niliteseka mtaani takribani miaka Miwili, niliangaika sana na mwisho nilijikuta nikikata tamaa kabisa.
Watu usema kuwa akili ya mwanadamu Inapoishia Ndio Mungu uanzia, baada ya kakata tamaa, Mungu aliamua kujionesha mbele yangu na hatimaye niliweza kupata kazi.
Ikiwa ni siku yangu ya kwanza kazini, nilitoka nyumbani asubuhi na mapema na niliwai Kifika ofisini, niseme kuwa niliwai sana, Yaani nilifika ofisini saa 12 asubuhi na kukuta wafanya usafi wakiendelea na usafi.
Majila ya saa 2 Kasoro, wafanyakazi walianza Kufika hapo kidogo nilianza kupata amani na kuona kuwa kazi Unaenda kuanza rasmi.
Nikiwa nimetulia kwenye viti vya wageni, Gafla moyo Wangu ukashtuka sana baada ya macho yangu Kutua kwenye Sura ya mwanamke Fulani hivi, walahi tena huyu binti ajazaliwa Bali ameshushwa daaah 😂🙌.
Nilimshangaa sana msichana wa watu mpaka nikajikuta nikisimama pasi na kujijua, nimekuwa nikiogopa sana wanawake lakini huyu Alijua kuvuluga akili yangu kwa Dakika Chache tu ambazo nilimuona.
Miguu yangu ilishindwa kabisa kutulia na kwa mwendo wa pole pole Kama zoba nikajikuta Nikianza kumsogelea msichana huyo, ukisikia love at the first sight Ndio hii sasa ❤️.
Kabla sijamfikia msichana huyo, gafla boss akatokea na kwa Sauti ya uchangamfu akaitilia Jina langu.
“Aaaash mr Seven naona mapema kabisa”
Nilisogea na Kupeana Mikono na boss wetu wa ofisi ambaye ni mchangamfu sana.
Baada ya nusu saa, wafanyakazi wote tulikutana kwenye ofisi ya boss kwaajili ya utambulisho, utambilisho ulikuwa mfupi tu, ilikuwa ni kujuana majina lakini pia nafasi ya kila mfanyakazi pale ofisini.
Baada ya kikao Kuisha, wafanyakazi wote walitoweka isipokuwa Mimi na msichana yule ambaye aliharbu akili yangu na moyo Wangu pale tu nilipomuona.
“Aaah lidya, utampeleka seven ofisini kwake, lakini utampatia lile file la flame work zake”
Alizungumza boss uku akiwa ameshikilia mkono wa lidya, kwa upande Wangu nilikuwa nikimuangakia lidya kwa jicho la kumpenda kabisa.
Baada ya kila kitu Mimi na lidya tukaongozana mpaka kwenye ofisi ambayo lidya Alitakiwa kunipeleka, ofisi hiyo ilikuwa inatumiwa na wafanyakazi wa Tatu tu, ambapo ni Mimi, lidya pamoja na Vioh rafiki kipenzi wa lidya.
Nilikuwa naogopa kukaa na wanawake, lakini kukaa na lidya ofisi moja ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa upande Wangu.
Ikiwa ni majila ya kupata kifungua Kinywa, gafla lidya Akaja mbele yangu na kwa mikono yake milaini akashika kidevu changu na kuniambia.
“Handsome twende nje tukapate Chochote kitu “
Nikajikuta Niki……

ITAENDELEA….


SUMMER (Tulizo la moyo wangu)
SEHEMU YA: 02
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
MAWASILIANO: www.tupohapa.com
SONGA NAYO........

Nilijikuta nikijibu kwa pupa sana na nilikuwa nina tabasamu la kutosha.
"Yaaah, yaaah twende na ghalama zitakuwa juu yangu "
Lidya aliniangalia kwa muda kisha akatabasamu na kuniambia.
"Waoooooh, so leo Mr man ningekuwa na kula pesa yako si ndio ??"
"Sio unge, yaani hapa unaenda kula pesa yangu tena unajichagulia kile kitu ukipendacho "
"Asante sana seven, wewe ni mkarimu mno, aaah kila kitu uwa tunahudumiwa hapa ofisini yaani namaanisha, chakula cha mchana na asubuhi ni free of charge so hauna haja ya wewe kutoa pesa zako kwaajili ya kuninunulia mimi chakula"

Nikijikuta sura ikinishuka kutokana na kiherehere ambacho nimekionesha, kwa pamoja mimi na lidya tukaongozana mpaka sehemu husika ya kupatia chakula.

*******

Siku ziliendelea kwenda na hatimaye Niliweza kumaliza mwezi mmoja tangu nipate kazi, kupata kazi kwangu ilikuwa ni zaidi ya baraka, nilijikuta nikiwa na amani kuliko kawaida.

Mshahara wangu wa kwanza niliamua kupanga tu chumba changu cha kishkaji na kununua vitu kadhaa, moja Kati ya ndoto zangu ni kuishi maisha yangu mwenyewe na kwa namna moja au nyingine, ni kama Mungu ameweza kunitendea hivi.

Kwa upande wangu mimi na Lidya ndani ya mwezi mmoja, tuliweza kuwa marafiki wa karibu sana, nilihakikisha kuwa lidya anapata kila aina ya raha.

Muda wote huo moyo wangu ulikuwa ukidunda kwaajili ya lidya ila sikuweza kufunguka mbele yake, kuna muda nilikuwa nikitamani kumwambia kuwa namuitaji sana, lakini moyo wangu ulisita na kunisisitiza kuwa urafiki ni bora kuliko mahusiano.

Moyo wangu uliniambia kuwa kuanzisha mahusiano na lidya, ni kuvunja urafiki mzuri sana uliopo kati yetu.

Ikiwa ni siku ya jumatatu, kama kawaida, wafanyakazi tulikuaa tukiendelea na kupiga kazi, gafla Simu ya lidya ikaita na muda huo huo akatoka nje.

Mimi niliendelea kupiga kazi, katika kazi zangu za hapa na pale, niliona kuwa kuna kazi lazima nimuhusishe boss hivyo haraka nikainuka na file langu na kuelekea kwenye ofisi ya boss.

Nilifika mpaka kwenye mlango wa boss lakini kabla sijagonga mlango, nilishtushwa na sauti ya lidya akisema.

"Boss SAM please leo utakuja tu kulala kwangu , kwa wakati huu niache kwanza nikamalizane na kazi zangu"

Maongezi hayo yalinitatiza sana, moja kwa moja nikajua kuwa boss na Lidya ni watu ambao wanatoka kimapenzi.

Sikuwai kujua kuwa maumivu ya mapenzi ni makali kiasi hiki, nilijikuta nikiumia sana na pasi na kuwaza mara mbili mbili, nilifungua mlango wa boss kwa nguvu pasi na kupiga hodi.

Ni bora nisingeingia tu, macho yangu yaliweza kukutana na vitu vya ajabu sana, moyo wangu ulizidi kuniuma zaidi lakini kimoyomoyo nikajiambia.

"Utapoteza kazi kwa ujinga wako...."

Basi nikajiweka sawa kisha nikazungumza.

"Aaaah samahani boss, nilikuwa najiandaa kugonga mlango lakini naona gafla nimefungua pasi na kutalajia"

Boss Sam alitabasamu kisha kwa mwendo wa madaha akasogea kwenye kiti chake na kuzungumza.

"Lidya unaweza kwenda, na Mr seven karibu sana"

Lidya alitoka nje akiwa na aibu ya hali ya juu, hakuweza ata kuniangalia usoni, nilisogelea kiti na kukaa mbele ya boss.

Kwa wakati huo, nilikuwa nikitetemeka kwa hasira, lakini pia kwa wasiwasi , niliwaza na kujiuliza maswali kuhusu boss wangu je amechukia au laaah.

Kwa utaratibu na sauti ya wasiwasi nikazungumza.

"Aaah samahani boss, kuna kazi hapa nafikili unatakiwa kuiangalia vizuri halafu ndio ije kwangu, kuna sign na marekebisho kadhaa ambayo unatakiwa kuyafanya"

Boss Sam hakujibu kitu zaidi alinyoosha mkono wake na kuchukua file, aliangalia kwa muda mwisho aka sign na
Kunirudishia file ilo.

"Kaendelee na kazi seven "

Alizungumza boss Sam akiwa serious sana, ndugu zangu, nisiwe muongo, wasiwasi wangu ulikuwa ni wa hali ya juu, nilibaki nikimtolea boss Sam macho tu uku nikiwa na maswali mengi kichwani.

Majila ya kupata chakula cha mchana, mimi na lidya kama kawaida tulijiandaa kwaajili ya kwenda kupata chakula pamoja, lakini gafla ujumbe uliingia kwenye simu yangu na ukisomeka hivi.

"Aaah tukutane lunch kwenye meza namba 8"

Ulikuwa ni ujumbe mfupi tu wa simu ambao ulitoka kwa boss, woiiiiih kitendo tu cha kusoma ujumbe huo, kilijikuta nikipata tumbo joto, nilihisi baridi na joto kwa wakati mmoja.

"Aaah lidya, leo hatutakuwa pamoja kwenye Lunch, namaanisha kuwa sitakuwa meza moja na wewe
"

"Unaenda wapi tena ??"

"Aaah Nina maongezi mafupi na boss hivyo nitakuwa Meza ile pamoja nae “

Basi nilimaliza kujielezea pale Mdogo Mdogo nikasogea kwenye meza ambayo boss aliniambia.

Zilipita dakika kadhaa tu na hatimaye boss Aliwasili, boss Alifika akiwa na tabasamu pana sana usoni Mwake, nilibaki nikishangaa na kujiuliza huyu boss ni mtu wa aina gani Manama anabadilika tu kila Dakika.

“Aaaah kijana naona uko vizuri kwenye appointment, kwa style hiyo unazidi kunifanya Nikuone Kuwa mtu wa tofauti sana, salami uchapakazi wako unanibariki mno”

Nilitabasamu tu na kuendelea kumsikiliza boss, watu Wangu, boss Nampa cheo chake tu lakini ha Kuwa mkubwa, kwa harass haraka ni Kama amenipita miaka 8 au Tisa tu.

Ukija kuangalia na Maokoto Aliyokuwa nayo Ndio kabisa yalimfanya aonekane Mdogo Kama mimi.

Muhudumu wa Eneo ilo, alumina kwenye meza yetu na kutuletea Chakula kisha akaondoka, tukiwa tunaendelea kupata chakula boss Sam akaniuliza.

“Seven unampenda Lidya ??”

Nyie, nilishtuka sana, Moyo Wangu ulianza kudunda mithili ya Ngoma kubwa, sijui ni uoga wa aina gani nilikuwa nayo lakini Nilijikuta nikipata kigugumizi cha gafla.

“Seven hapa tunaongea kiume Bwana, yea nakuangalia sana unavyomuangalia lidya, jinsi ambavyo unampa attention Ndio kabisa, achana na ilo sasa, Leo nimeona Maumivu yako baada ya kujikuta Mimi na lidya…”

“Aaah boss, aaah amna kitu Kama iko, lidya ni Mfanyakazi mwenzangu tu “

“Seven narudia tena, Sisi ni wanaume na tunaongea kiume, labda nikuambie kitu, Kama unaogopa Kuwa na lidya kwaajili
Yangu naomba ondoa Shaka kabisa, Mimi ni mume wa mtu lakini pia ni baba wa watoto wawili, naipenda familia yangu sana na lidya anajua, lidya ni Msichana mrembo sana na anastahili Mwanaume gentlemen Kama wewe “

“Kwa hiyo boss wewe Una familia yako ??”

Nilijikuta nikimuuliza kwa shauku sana.

“YaAaah Nina familia yangu, na chochote ulichokiona siku ya Leo ni kama ajali tu na akitakuja kutokea tena, Mimi nakushauri mwambie lidya Kiwelu Ba mfungue chapter Mpya….”

Nyieeeh, Nilijikuta Nikifurahi sana sana, nilitamani ata kupiga kelele lakini nilijikaza tu.

Katika siku ambazo Nilifanya kazi Nikiwa na Furaha basi ni Leo jamani, Yaani nilifanya kazi uku nikifikilia jinsi ambavyo nitakuwa kwenye mahusiano na Binti mrembo Lidya.

Majila ya Saa Mbili usiku, nilifunga safari na moja kwa moja nikaenda nyumbani kwa lidya, kwa Wakati huo tayali nilikuwa napajua nyumbani kwa lidya kwani tulijiwekea utaratibu wa kutembeleana kila weekend.

Nilifika nyumbani kwa lidya lakini nilishtuka sana baada ya kukuta, Gari ya boss ikiwa imepaki Mke ya Nyumba hiyo……

Nika…….

ITAENDELEA……


SUMMER (Tulizo la moyo wangu )
SEHEMU YA: 03
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
MAWASILIANO: www.tupohapa.com
ANZA NAYO........

Kamoyo kangu kalianza kudunda kwa kasi ya 5G, wivu na hasira vilishikamana kwa pamoja, nilijikuta nikikumbuka maongezi yao ya mchana kisha nikaamua kuunganisha matukio na kujisemea.

"
Sina Changu "

Nilizungumza kwa sauti iliyokata tamaa kabisa, kwenye maisha yangu sikuwai kumpenda mwanamke kama ambavyo nilimpenda lidya, lidya nilimpenda siku ya kwanza tu ambayo nilikutana nae.
Kwa unyonge wa hali ya juu niligeuka nyuma na kutaka kuondoka, lakini nilishtuka na kugeuka nyuma baada ya kusikia sauti ya boss wangu ikiniita.
"Seven"
Niligeuka tu lakini sikuwa na raha ATA kidogo, kichwa changu kilikuwa na maswali mengi sana ya kumuuliza boss Sam, ngoja niwakumbushe kuwa mimi ni mtu mtulivu sana, kwa Muda huo niliamua kutumia utulivu wangu na kwa uso wa bandia nikaweka tabasamu na kuzungumza.
"Aaah kumbe upo Hapa boss Sam??"
"Yaaah, nilikuja kuzungumza na Lidya kidogo, na sio kuzungumza bwana, nilikuwa napita nikaona nimsalimie kisha niendelee na shughuli zangu "
"Ooooh kumbe "
Nilijibu kwa kifupi kabisa nikiamini kuwa boss ameamua tu kunidanganya.
Basi mimi na boss Sam tuliagana na kila mtu akashika njia yake, boss Sam alipanda kwenye gari yake na kuondoka, kwa upande wangu nilisogelea mlango wa lidya na kugonga.
Baada ya kugonga kwa muda mfupi, lidya alikuja na kunifungulia mlango, nyieeeh huyu binti ako na nguvu ya ziada sio utani, yaani kitendo cha kumuona nilijikuta nikisahau kila kitu.
Niliweka kando hasira zangu na kwabashasha na tabasamu mwanana nikamkumbatia lidya wangu.
Kiukweli lidya ndiye mwanamke ninayemuitaji kwenye maisha yangu, yaani ni mwanamke ambaye ananifanya nafurahi kila ninapomuona hivyo ni lazima nimpate lidya.
"Ukuniambia kama unakuja ningekuwekea chakula "
Alizungumza lidya uku akinimiminia glass ya juice.
"Aaah usijali bwana hii inatosha sana, ata hivyo lengo langu lilikuwa ni kukutembelea tu na kupiga Story mbili tatu"
"Aaah karibu sana mwaya, sasa Seven umekuja uku na wifi akija nyumbani asipokukuta ?"
Badala ya kujibu swali la lidya, nilijikuta nikiangua kicheko cha hali ya juu na kwa aibu nikazungumza.
"Sina mpenzi na sijawai kuwa nae "
"Mmmmmh"
Lidya aliguna kwa kuashiria kutokuniamini ata kidogo, nilibaki nikimtolea macho na kumsisitiza kuwa aniamini kwa kile ninachomwambia.
"Seven acha utani bwana, hii ainiingia akilini ata kidogo, yaani mkaka mzuri, gentlemen kama wewe unawezaje kuwa single ?"
"Ni kawaida tu, ata hivyo maisha ni kuchagua na Mimi nimechagua hivyo "
"Unanichanaganya bwana, yaani Seven unataka kusema kuwa kila kitu unachozungumza unamaanisha ?"
"Ni ngumu kuamini lakini ndio ukweli huo"
Lidya alionekana kuwa binti mcharuko sana, ni binti ambaye ametawaliwa sana na utandawazi.
Kwa mwendo wa polepole lidya alinisogelea na kwa mahaba mazito akaja kukaa kwenye mapaja yangu, nyieeeh nilijikuta nikisisimka sana, mapigo ya moyo yalikuwa kasi sana na kunifanya nibaki njia panda na nisijue nini cha kufanya.
Lidya alianiangalia usoni akiwa na macho malegevu kabisa, akuonesha kuniogopa wala kunionea aibu, ilichukua sekunde kadhaa tu kwa lidya kunisogelea kwenye midomo yangu na kuanza kukisi.
Kwakuwa ilikuwa ni mara yangu ya kwanza, nikijikuta nikiwa kama zoba, lidya alionekana kuwa mtundu sana kwenye mambo hayo hivyo alihakikisha kuwa nampa sapoti.
Zuzu mimi, nilijikuta nikianza kutoa sapoti ya kutosha, kuna muda nilikuwa natamani kumfanya lidya aache kile alichokianzisha lakini utamu ulikuwa ni wa hali ya juu, moyo wangu uliniambia kuwa uwenda lidya na yeye ana hisia kali Sana za mapenzi juu yangu.
Tuliendelea na ka mchezo lakini gafla lidya akajitia mwilini mwangu na kwa jazba akazungumza.
"Uwiiiih, nisamehe Seven, ata sijui akili yangu imepatwa na nini "
Kwa upande wangu sikuwa ata najua natakiwa kujibu nini, muda huo nilikuwa nimelegea mwili mzima walahi, akili ya uzinzi iliniamuru kuinuka na kumfata lidya.
Pasi na kufikilia mara mbili mbili nilimsogelea lidya na tukaamua kurudi mchezoni.
Ila niseme tu ukweli nilitia aibu kijana wenu 🤣🙌🏻, yaani mimi ndio nilikuwa nikilia zaidi kuliko lidya, sijui uko nje kama watu walikuwa wakisikia, lakini kama walikuwa wakisikia nina uhakika wamecheka sana 🤣🙌🏻.
Ninachoshukuru ni kwamba, huu mchezo sio mpaka ufundishwe, yaani ukiingia tu uwanjani unajua namba zote zinacheza kwa utaratibu gani.
Sawa nilikuwa mgeni mchezoni, lakini nilihakikisha kuwa sihaibiki ugenini.
Baada ya kumaliza mechi, kila mtu alishindwa kumuangalia mwenzie, lakini niseme kuwa lidya ni mwanamke anayejiweza sana, ni mwanamke ambaye mshipa wa aibu ulikatika kidogo.

"Seven "
Lidya aliniita kwa sauti ya utulivu sana.
"Naaam "
Niliitika kwa sauti ya kukoloma si unajua tena mwanaume ni mwanaume.
"Nisamehe kwa iki kilichotokea, ni hisia kali tu za mapenzi juu yako ndio zimenifanya nifanye hivyo"
Alizungumza lidya na kwa aibu akabaki akiangalia chini.
Kwanza nilikaa vizuri kabisa na kwa kujilaza kiume nikazungumza.
"Lidya lengo la mimi kuja hapa, niliitaji kukuambia ni kiasi gani nakupenda, unaweza usinielewe, lakini nilikupeda tangu siku ile ya kwanza pale ofisini, ndani ya week ile, usingizi wangu ulikuwa wa shida sana kwaajili yako, nakupenda lidya "
Saah mtoto wa kuume nikaamua kufunguka na hatimaye nikacheza kama Pele, lidya alionesha kukubali kabisa kwani pasi na kuzungumza kitu, akanigeukia vizuri na kunipa kiss moja matata sana.....
Aaah mtoto kajileta mimi ni nani nipinge na ukizingatia nampenda sana, kwa mara ya pili tukaingia mchezoni na safari hii nilianza kuwa fundi.
Majila ya saa 5 nilifunga safari kutoka kwa kina lidya mpaka nyumbani kwangu, nilifika mtaani kwangu na kukuta fujo ya kutosha, bwnaa kijana wenu, nilikuwa nikiishia kwenye mitaa ya uswazi sana maana kulikuwa na kila aina ya vioja.
Mimi ni mtu wa ku mind my own business, lakini ugomvi huo nilioukuta nilijikuta nikiingilia na kuanza kugombelezea kwani walikuwa wakipigania mlangoni kwangu.
Nikitumia nguvu yangu ya uwanaume na kuweza kuwaamulia wamama watu wazima walikuwa wakigalagazana chini kama hawana akli vizuri.
"Mama ndio nini sasa kudhalilishana usiku huu "
Ilikuwa ni sauti nzuri na nyororo ya msichana, sikuweza kumuona usoni kutokana na watu kuwa wengi, ugomvi uliisha na hatimaye kila mtu akashika njia yake.
*******
Siku iliyofuata asubuhi na mapema, niliamka na kujiandaa kwaajili ya kuondoka kazini, ile natoka nje tu, nikakutana uso kwa uso na.....
NAKUJA MY ZANGU......


SUMMER (Tulizo la Moyo Wangu)
SEHEMU YA: 04
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
MAWASILIANO: www.tupohapa.com
SONGA NAYO……

Nilikutana uso kwa uso na Lidya Wangu, akiwa na tabasamu pana kabisa usoni mwake, nyie huyu binti atakuja kuniua kwakweli, Yaani kitendo tu cha kumuona Moyo Wangu ulilipuka kwa furaha ya hali ya juu.
“Good morning my love “
Lidya alinisalimia kwa madaha kabisa, muda huo nilianza kuona Kama namiliki dunia hivi, sikuweza kujibu salamu ya Lidya zaidi nilimsogelea na kumkumbatia kwa Nguvu sana na kumwambia.
“I love you Lidya “
Aaah basi watu na penzi letu jipya tukapanda gari na kuelekea kazini, my zangu, kwa kipindi hiki mimi ndio kwanza nilikuwa nikijitafuta tu, kwa upande wa lidya ni kama alijipata hivi kwa kiasi chake, alikuwa amepanga nyumba nzima, lakini pia alikuwa akimiliki gari moja aina ya Alteza.
Tulifika ofisini na siku hiyo tuliingia kwa kushikana mikono, nilitamani ata kuuambia ulimwengu kuwa lidya ni wangu.
Lidya alinishika mkono vizuri kabisa, kwa mwendo wa kupendana pendana 😁 tukaenda kwenye ofisi kubwa yaani ofisi ambayo ilikuwa ikitumiwa na wafanyakazi wote wale wa chini chini.
Kitendo cha kuingia tu, kila mtu akapiga kelele na makofi ya hali ya juu, nilibaki nikishangaa lakini lidya alinikumbatia vizuri kabisa kisha akasema.
"New lovers in town, guys I love this man "
Aaaah seven nitake nini mie, eeeh niwaambie nini ili mjue kama napendwa, lidya alikuwa proud sana na mimi, kilichotokea ni kwamba, lidya aliwaambia wafanyakazi wenzetu wote kuwa sisi tunamahusiano, na aliwaambia usiku kupitia group chat la ofisini.
Kila mtu akatupongeza pale, wanaume wenzangu walinifata na kuniambia kuwa nimeweza sana, siku hiyo nilikuaa na raha sana walahi, lidya ndio kabisa, muda mwingi alivalia I pods zake na alikuwa bize akisikiliza mziki na kucheza.

********
Siku zilijua kukimbia na miezi kukatika, hatimaye penzi letu mimi na lidya likatimiza miezi sita, muda muda wa miezi yote hiyo, nilihakikisha kuwa lidya anakuwa kama princess na sio queen.
Kwa jinsi ambavyo nilikuwa nikimpenda sana lidya nilijikuta tu nikiwaambia ndugu zangu na wazazi wangu kuhusu yeye, wazazi wangu wlaifurahi sana na kila mtu akataka nimpeleke lidya nyumbani na akiwezekana tuanze kichukua hatua.
Ikiwa ni siku ya jumatano pale ofisini, nilimuita mpenzi wangu lidya na kuanza kuzungumza nae.
"Aaah, baby nimeongea na familia yangu kuhusu wewe na wameonesha kukupokea kwa mikono miwili, so nilikuwa naomba weekend hii twende nyumbani" .
Lidya alishtuka sana mwisho kwa sauti ya kinyonge akajibu.
"Sawa baby, utanipa ratiba kamili "
Lidya alijibu na kuinuka kitini kisha akatoka nje, safari yake iliishia kwenye ofisi ile kubwa, alimsogelea shoga yake na kwa sauti ya umbea na unafiki akaanza kuzungumza.
"Soso, hivi unajua seven akili hana kabisa"
"Kwanini ??"
Soso aliuliza kwa sauti ya kishambenga na kuweka kitako vizuri ili aweze kusikia nikinangwa.
"Yaani namfanyia Kila aina ya visa, namuonesha wazi wazi kuwa mimi sipo kwake kwaajili ya mapenzi lakini aelewi, can you imagine saa hizi ananiambia nataka kunipeleka kwao ??"
"Ila lidya, sijawai kuzungumza na wewe kiundani, lakini kwenye hili, naomba niseme kuwa kubali, kubali kuwa mke halali wa Seven, kwanza ni kijana mtulivu sana, anakupenda mno "
"We nawe unaongea nini, yaani mimi niwe mke wa seven, soso nisiwe muongo, sijawai kumpenda seven ata siku moja nipo namtumia tu, unajua kabisa ni kiasi gani nampenda boss Sam "
"Lidya jua ndio ili anika huo mpunga usije ukaula mbichi shoga yangu "
"Unamaanisha nini ?"

"Namaanisha kuwa, huu ndio wakati sahihi wa wewe kuyachukulia maisha yako serious, kiufupi sipendezwi na mahusiano yako na boss, toxic relationship, kila siku unalia, kila siku ni mtu wa kulaalamika, hajawai kukuambia kwenda nyumbani kwao, ebu mpe nafasi seven nina Imani hautajutia "
"We nawe ebu nitokee hapa "
Alijibu lidya na kuinuka kwa hasira sana, sijui nini kilitokea lakini lidya alirudi ofisini akionekana kutokuwa sawa tu, pasi na kuzungumza kitu akashika pochi yake na kutaka kuondoka haraka nikamuuliza.
"Unaenda wapi ??"
Lidya aligeuka na sauti ya kutaka kulia akajibu.
"Naenda nyumbani tumbo linaniuma sana "
Nyie kwa jinsi ninavyompenda huyu binti. Na mimi nilianza kuhisi kuumwa, kwa haraka nikainuka na kwenda kumshika shingo nikiwa kama napima joto hivi, muda huo lidya machozi yalianza kumtililika.
"Ngoja niombe ruhusa nikupeleke hospital babe"
Nilizungumza nikiwa na wasiwasi sana.
"Aaah amna shida, amna shida babe, ili tumbo ni kawaida tu nitaenda kunywa dawa then nitalala "
Nilijitaidi sana kumshawishi lidya wangu lakini niligonga mwamba, niliamua tu kumuacha uku nikimuaidi kuwa nitaenda kumuona nyumbani kwake pale tu nitakapotoka kazini.
Muda wa kutoka kazini, sikuweza kwenda kwa lidya kwani nilifika nyumbani na kukuta mama mwenye nyumba yangu anaumwa sana.
Ni mwanamama mtulivu sana, mcheshi, na uwa ananitreat kama mtoto wake na sio mpangaji wake, haraka nikashirikiana na wapangaji wengine na kumuwaisha hospital, kutokana na hali yake kua mbaya, baada ya vipimo mama wa watu akapatiwa kitanda yaani alilazwa.
Sikuweza kumuacha mwenyewe, kwa wakati huo nilikuwa nikiwasiliana na binti yake ambaye sikuwai ata kumuona, mara nyingi nilimpigia simu na kumuimiza awai kufika, maana akili yangu pia ilikuwa ikimuwaza lidya wangu.
Hatimaye binti huyo aliweza kufika na kwa haraka nikamkabizi kwa mama yake, lakini pia nilimuachia kiasi kidogo cha pesa na kumwambia.
"Chochote kikutokea please call me "
Baada ya kila kitu nilishika njia na kuwai nyumbani kwa lidya
Picha linaanza nafika tu nakutana na gari ya boss Sam ikiwa imepaki nje ya nyumba ya lidya, akili yangu iliniambia kuwa ni amekuja kumuona kwani wao ni watu wa karibu.
Nilisogelea mlango na kutaka kugonga lakini nilishtushwa na vilio vya mahaba vya lidya na sauti ya muungulumo ya Mr Sam.
Nyieee nilijikuta nikiwa na hasira sana, nikaamua kuingia na mlango mzima mzima, nilichokikuta ni kiliniumiza moyo zaidi, lidya alikuwa juu ya Mr Sam akijipimia tu, tena wameamua kumalizana sebuleni daaaah.
Nika.......🥹🥹💔
NAKUJA.......


SUMMER (Tulizo la Moyo Wangu)
SEHEMU YA: 05
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
MAWASILIANO: www.tupohapa.com
SONGA NAYO……

Nikajikuta tu nikikosa Nguvu na kwa maumivu Makali ya Moyo nikakaa chini tena ni mlangoni, Ujio Wangu uliwashtua wote na kwa pupa Wakaacha Zoezi Lao kila mtu akakimbilia mavazi yake kwaajili ya kujistili.
“Seven hii sio kama unavyofikilia”
Alizungumza boss Sam ikiwa ni njia ya kuanza kujitetea.
Nilishindwa kuendelea kuwaangalia, moyo wangu uliniuma kuliko kawaida, sikuwai kujua kuwa maumivu ya mapenzi ni makali Kiasi hiki.
Kwa huzuni na unyonge wa hali ya juu nikashika njia na kuondoka zangu, Nina Uhakika kila nilikopita watu walikuwa wakinishangaa, nilitembea Kama mlevi, nilitembea Kama Kichaa wa miaka mingi.
Kwa Wakati huo Sikuwa nikiona umbali wa kutoka kwa lidya Mpaka nyumbani kwangu, nilitembea pasi na kuchoka, nilitembea pasi na kuona umbali wa sehemu niliyokuwa nikienda.
Hatimaye seven mimi nilifanikiwa kufika nyumbani, nilifika na kujitupia tu mlangoni mwangu Kama mzigo, kishindo changu kilimshtua sana binti wa mama kwenye nyumba ambaye alikuwa bize akiangaika na kuzima Mtoto wake wa mkaa.
“Jamani, kaka Pole “
Alizungumza binti huyo na kunisogelea akitaka kunisaidia niweze kuinuka, kwakweli nilikuwa Kama kichaa hivi, nilikataa kuinuliwa na binti huyo zaidi nikaanza kumlalamikia.
“Kwani wanawake mnashida gani Jamani eeh ? Nini mnataka kwenye Maisha yetu ?, mnapendwa lakini ampendeki kabisa, wanawake ni Wauwaji nawaambia”
Nilikuwa nikilopoka tu, binti wa mama mwenye nyumba aaliweza kujua kuwa nimevulugwa sana, kwa utulivu Akakaa pembeni yangu, hakuishia hapo, alishika kichwa changu na kuweka kwenye miguu yake na kuanza kunipiga piga mgongoni.
Kwa Namna moja au nyingine alinisaidia kutuliza hasira na Maumivu makali ambayo nilikuwa nayo, binti wa watu alitumia muda mrefu sana kuhakikisha kuwa nakuwa Sawa, na Mwisho Nilipitiwa na usingizi Nikiwa kwenye miguu ya binti huyo.
Nilikuja kushtuka Majila ya saa saba Baada ya king’atwa sana na mbu, nilishtuka baada ya kujikuta nimemlalia binti wa Watu, kwa wakati huo, binti nae alikuwa amelala na Kichwa chake ameegemeza kwenye mlango wa chumba changu.
“Wewe, wewe, Mtoto wa mama kwenye nyumba “
Nilimuamsha kwa kumtikisa na kumuitilia, muda huo huo Aliamka akiwa na uchovu sana, aliniangalia kwa muda kishaa akazungumza.
“Aaaah samahani kwa kukuacha ulale nje, sikuweza kukubeba, lakini pia nilikosa Msaada kwa watu “
Walahi Nilihisi Aibu ya hali ya juu, Yaani mapenzi Ndio kwanza nimeyaanza halafu yananizalilisha Kama hivi kweli 😂🙌.
Basi nikamshukuru sana binti Yule kisha tukaagana na kila mtu akaingia chumbani kwake.

********

Asubuhi na mapema niliamka na kujiandaa kwaajili ya kwenye kazini, ile natoka tu nje niliweza kukutana na Mtoto wa mama mwenye nyumba ni Kama alikuwa akijiandaa kutoka hivi.
“Za asubuhi Kaka “ binti huyo alinisalimia.
“Salama, mbona asubuhi na makapu??”
“Nampelekea mama uji hospital “
“Oooh nikajua Jana alitoka, woiiiih Naomba tuongozane “
Kwa pamoja mimi na binti huyo tukashika njia na safari ya kwenda hospital ikaanza, njia nzima nilikuwa nikimuangalia binti huyo, nyieeeh, kuna mabinti wameumbwa bwana, Yaani binti wa mama mwenye nyumba kaumbika sana, hisia kali za kukwichi kwichi zikaanza kutawala akili yangu gafla nikamuuliza.
“Mtoto wa mother house Jina lako ni Nani ??”
Binti wa watu aligeuka na kuniangalia, kwanza akaachia tabasamu la kwenda na Kujibu.
“Niite summer “
Nyieeeeh huyu Mtoto nae daaah, kuna haja gani ya kunichekea si angenijibu tu kawaida, Ila Hisia ni nyoko sana, nimetoka kuchitiwa saa hizi naanza kumtamani summer.
Tulifanikiwa kufika hospital, kwa kuwa nilikuwa Nikitaka kwenda kazini niliwai kuwaaga na kuondoka.
Nilifika kazini nikiwa sina Amani kabisa, nilimsalimia kila mtu kisha nikaingia ofisini kwangu, ile naingia tu nikakutana na Lidya pamoja na boss wakiwa kwenye mazungumzo.
“Za asubuhi “
Niliwasalimia kawaida kabisa Kana kwamba hakukuwa na kitu chochote kilichotokea, boss aligeuka na kuniangalia na pasi na kujibu kitu Akatoka nje.
Kitendo cha boss kuondoka, nilisogelea mlango na kuufunga kisha nikamsogelea lidya na kumuuliza.
“Una nia gani na maisha yangu ya mahusiano ??”
“Ukiwa unamaanisha nini kaka penda penda ?? Lidya akaniuliza kwa sauti ya kejeri sana.
“Lidya unaona ni Sawa ulichonifanyia ??”
“Kawaida tu, seven acha niwe mkweli, Sikuwai kukupenda, sikuwai kuwa na hisia zozote zile na wewe, sikuwai kikuchukulia Kama mwanaume Wangu, kuwa na wewe kwangu ilikuwa ni aibu hauna hadhi ya kuwa na Mimi “
Woiiiiih women Jamani 🥹🙌 Yaani Leo hii Mimi naambiwa maneno machafu kama hay.
Niliamua kuwa mpole tu, Moyo Wangu uliumia zaidi baada ya kupokea ukweli wenye uchungu wa Kutosha.
Majila ya mchana, niliandika barua ya kupata kilikizo cha mwezi moja tu na kumpelekea boss, boss alijua kabisa kuwa siko Sawa hivyo alichofanya ni kukubali ombi langu.

******

Week Nzima ilipita nikiwa nyumbani, nilikuwa ni mtu mpweke sana na kujifungia muda mwingi, nilianza kuwa mchafu walahi, kula pia ikawa mtihani.
Nashukuru Mungu kwa kipindi chote iki, mama mwenye nyumba na binti yake summer walikuwa wakiniangalia kwa makini sana na kunionesha kila aina ya upendo.
Summer alihakikisha kuwa nakula kwa wakati, nakuwa msafi, alihakikisha kuwa upweke unanitoka na niseme kuwa Aliweza kwa asilimia kadhaa.
Ikiwa ni week Tatu tangu nipate likizo, niliamua kukubaliana na hali halisi na kuacha maisha mengine yaendelee, ikiwa ni Majila ya jioni, Mimi na summer tulikaa zetu chumbani kwangu na kuangalia movie.
Kipindi iki tulishazoeana sana na tulikuwa ni watu wa karibu sana, movie ambayo tulikuwa tukiangalia ilienda kwa Jina la 365 days, nafikili wanaojua washajua bwana balaa la hii movie 😂🙌.
Mimi na summer ni binadamu, tuna nguvu, tunakula na kushiba, lakini pia tunahisia bwana 😹, aaah tukaamua tu kufanya experiment ya kile tulichokuwa tukiangalia kwenye movie 😂🙌.
Nyieeeeh huyu binti fundi, nilifikili kuwa nimeona kila kitu kumbe bado bwana, summer anajua halafu anajua tena 😎, Yaani namsifia mpaka Naona aibu, summer akiwa juu yangu anajipimia, gafla mlango ulifunguliwa na katika kuangalia nikakutana uso kwa uso na LIDYA .
Nini kitatokea ? Tukutane kwenye website 💃🏻…….


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote