SARIA (House girl aliyebeba mimba ya boss wake)

book cover og

Utangulizi

YAAN KUNA WANAWAKE HAWANA HURUMA
Wakat ambapo Wanawake wanalalamika kuwa wanaume hawaeleweki na wanawaumiza basi Kuna WAnawake wengine wanachezea bahat ya kuwa na wanaume Bora kwa kuwachezea, bint zayana anadanganyika na uzuri wake na kutaka kwenda kujiuza maana alihisi kama miaka 23 alionayo aliwah sana kuingia kwenye ndoa kabla umri wake haujafika, anaamua kuacha ndoa yake na kwenda kujiuza kwenye mitandao ya porn mikubwa dunian ambapo anamuacha mume wake na dada wa kazi SARIA, unadhan imekuwaje mpaka SARIA akabeba mimba ya boss wake, je unadhan wakat zayana anaiacha nyumba yake na kwenda kujiuza alimuacha mumewe ambae alikuwa anampenda sana kwenye Hali Gani, na je zayana kumuacha mume wake ndio kumepelekea SARIA akabeba mimba ya boss wake au ni baada ya zayana kuondoka?

Hata mm sijui,ili kujua ukweli soma simulizi hii ya kusisimua ya SARIA (house girl aliebeba mimba ya boss) yaan ni kuburudika kwa mstari

SARIA (hause girl aliebeba mimba ya boss ) 1
HUSQER BALTAZAR
Kwenye maisha kuna baadhi ya wanawake mungu anawapaga wanaume sahihi sana ila waondio wanakuwa pasua kichwa, tumeshazoea kuona wanawake kila siku wanalia kwa kutesekakwenye ndoa zao na kutupilia mbali mateso wanayoyapitia wanaume kwenye ndoa zao, nadhantunawaona wanawake ndio wanateseka kwa maana wamepewa kipawa cha kuongea nakulallamika sana, ila wanaume mwenye zimungu aliwaumba na koromeo, na wamepewakabaa, kwa maana wanaume wengi hawanaga kawaida ya kusema mambo yao na ndio maaanawanakufa mapema kwa msongo wa mawazo na pressure…
Naitwa saria, nimezaliwa handeni tanga, kabila ni mbondei upande wa baba na msambaakwaupande wa mama, nilikuwa mtoto wa mwisho kwenye familia yangu, ila ni mtoto wa uzeenkwamaana wazaz wangu walinizaa wakiwa watuwazima sana, kwa maan hata dada yangu mkubwaanamtoto mwenye miaka kama yangu…
Ingawa nilikuwa na dada na kaka hakuna hata mmoja ambae alikuwa anawajali wazaz zaidi yangu ambae ndio nilikuwa nao kijijini, dada yangu aliolewa na mwalimu, na kaka yeye anabiashara zake huko songea na ana mke na watoto wawili huko, kutokana na ugumu wamaisha na wazaz wangu kuwa watu wazima sana, nilikuwa nawaonea huruma sana, nikamuomba mama nikafanye kazi akiwa na baba, nmwanzo walikubali ila wal ipojua kiuwanatoka nje ya mkoa wakajua na mimi pia nitawakimbia na kuwaacha kama walivyofanyakakana dfada yangu, nikawahakikishia kuwa nitapambana na kuhakikisha kuwa narudi na naendakutengeneza maisha mjini kisha nitakuja kuwachukua…3
“ mimi nikienda mjini nitakufa mwanangu, sitaki kufa, akawa analalamika baba yangu, nikawanataka kucheka ila nikawa nahisi kama baba yangu anaweza kujisikia vibaya, basio nikawanamfariji pale, mwisho akanielewa na kunipa Baraka zote za kwenda kufanya kazi na wakanisisitiza kuwa nisiwasahau…
Basi safar ikaanza kuelekea kwenye jiji la utalii Arusha, haiukuwa kazi rahisi kwenda huko, maana sikuwah kufika kabla, ila nilipokelewa na bint ambae alikuwa anaonekana kama anawezakuwa amenizidi miaka minne ama mitano, kwa maana kwa kipindi hicho nilikuwa na miaka17, alikuwa anagari lake, alikuwa ni mrembo mno, kiasi kwamba kwa mwanaume yoyote Yulerijal akimuona ni lazima atampenda au hata atamtamani…

Alinambia anaitwa precius na alikuwa anaishi na mume wake anaitwe sudy, ila amesilimukwaajili ya kumfata mume wake na jina lake lingine zayana, alikuwa mcheshi na asie kuwanadharayu, na kwa akili zangu nikajua kuwa Yule bint alikuwa ni bint wa boss, kumbe ndiobosswangu huyo mwenyewe…
Tulifika sakina maeneo flani hivi kule kwa idd, tukaingia kwenye nyumba flani, haikuwa kubwasana, ila ilikuwa inaonesha kuwa mmiliki wa ile nyumba alikuwa anajiweza kwa maana ilikuwana maru maru kila sehemu, yaan kwa ushamba wangu nikajua kuwa pale ni hotelin, ila niliogopakuuliza, kwa maana niliogopa nisije nikaonekana mshamba bure, kwa maana nilikuwa nahisi kama kila kitu pale sikuwa nakijua kabisa……..
Basi nikawa natoa macho, mara nikashangaa anaingia mwanaume ni handsome huyo, alikuwamzuri jaman huyu kaka, yaan mpaka nilipomuona nikaanza kutabasamu, na kwaakili zangunikawa najua kuwa Yule kaka ni kaka yake na Yule precius au zayana, so nikawa nimekaanamsubiri baba au mama yao aje kunipa maelekezo, sijui hata nilikuwa nawaza nini…..
NAKUJA…….

SARIA (hause girl aliebeba mimba ya boss ) 2
HUSQER BALTAZAR
Basi nikashangaa chakula kinaletwa, mm nililetewa chips kuku ni kama walikuwa wanajuakuwachips kuku ni dili, yaan kwa kule kijijini unaweza ukaoa mwanamke kwa chips kuku, a;lafummnapewa bure bure, aisee nilifakamia kama sina akili nzuri, , nilikula wakawa wananiangaliahukuwanachjeka, walikuwa wanaonekana kama ni watu wanaopendana sana, na kwa akili zangunikajua ni kaka anampenda mdogo wake tu…..
Basi nimemaliza kula, nikawasbhukuru pale kisha nikasema “ ila dada precius kaka yakoanakupenda sana, na ndio maana mama yenu anaweza kwenda mbali na akawaacha pamoja,maana kaka yako anaweza kukulinda, yaan hata ukipagta mume omba sana upate mumekakakaka yako, nikasema, nikashangaa wanaangaliana kisha wanaanza kucheka….
“ saria unavituko, huyu sio kaka yangu bana, ni mume wangu, yaan mm na huyu mume wangundio tutakuwa maboss zako, na unatakiwa kufanya kazi za humu ndani, kwa maana sote

tunatoka nyumban asubuh sana, na tunarudi jion, na tukirudi kila mmoja anakuwa amechoka, hivyo tukaona tutafiute mdada wa kazi tu, akasema yule precius au kwa jina lingine anaitwazayana…..
Niliona aibu kwa kujua kuwa wale walikuwa ni kaka na dada, ila nikajiambia kuanzia sikuhionitaacha kuropoka, kwa maana nisije nikazidi kutia aibu zaidi….
Basi yile zayana akaenda kunionesha chumba changu cha kulala kilikuwa ni chumba kikubwasana, kwa maana kwa haraka haraka nilidhan ni hotel kumbe ndio chumba ambacho natakiwakulala mimi, yaan intake nn tena kwa mungu mimi…
Ila mauza uza yakaanza ilipofika saa sita usiku, nikasikia kama maboss zangu wanagomban, sauti ya mwanaume ikawa inasema “ nakujua kuwa unatafutaga sababu tu ili uninyime haki zangu, sijui nimekukosea nini mimi, yaan unatafuta sababu ya kuhakikisha kuwa haulali namimi, kama bikmra mbona nimeshakutoa muda mrefu, na nina uhakika utakuwa umeshapona, zayanakumbuka mimi ni mume wako, na nina haki zangu kwako, so acha usumbufu wako, nan atamanhata siokmu moja na mm niitwe baba, unafikiri nitaweza vipi kuitwa baba na wakat hutaki kunipa haki yangu, akawa analalamika Yule mwanaume …
Nikasikia mlango umebamizwa kisha Yule mwanamke akatoka na kwenda kulala chumbakingine, nilishangaa maisha yao, kwa maana kwa mara ya kwanza nilipowaona nilijua kuwawanapendana sana, kumbe kuna mambo mengi yanaendelea kwenye ndoa za watu, na walewatetea haki za wanawake wangekuwa wanatetea na haki za wanaume kwa maana wanaumewanateseka sana kwenye ndoa zao, ila ndio hivyo wamepewa kaba, na huwa hawazungumzi mambo ambayo huwa wanayapitia kila wakat…..
Basi ukapita utulivu wa muda kama masaa mawili, na chumba ambacho Yule mwanamkealienda kulala ni karibu na chumba ambacho nipo, kwa maana ile nyumba ilikuwa kubwa, kulikuwa na room kama tano za kulala, na mwanaume alikuw analala chumba kinachopakanana ukimbi, kwa maana ndio chumba cha kwanza kutokea sebuleni, ila huyu mwanamke alikujachumba cha mwisho kabisa cha hio nyumba na chumba kinachofuata ndio nilikabidhiwamimi, mara nikaanza kusikia miguno kama watu wanafanya mapenzi, kwa mara ya kwanza nilidhanlabda walikuwa wanafanya mambo yao kwa maana walikuwa ni wanandoa, ila mara nikawanasikia nakupenda sana mubaba wangu…

Kwa kuwa ilikuwa ni siku ya kwanza mm kufika kwenye ile nyumba hivyo sikupata kabisausingizi, nikasema niende nikaangalie, alikuwa Yule mwanamke yupo uchi wa mnyama, kishaamejichanua mapaja, alikuwa kama anaongea video call na mtu, na alikuwa anafanya mapenzi kwa kutumia simu, nilishtuka sana, kwa maana alikuwa ni mke wa mtu anafanyajewmamboyaajabu hivyo, nikiwa nazubaa saa ngapi nisipige chafya sana, nikaona ehee nikionwa kibaruakimeisha …
NAKUJA

SARIA (hause girl aliebeba mimba ya boss wake) 3
HUSQER BALTAZAR
Nilikurupuka na kukimbia chumban kwanguyule mwanamke akaja akachungulia ila hakuonamtu hivyo akahisi kuwa ni mawenge yake, akarudi kuendelea kufanya upuuzi wake…
Asubuh akaja akaniamsha mapema akawa anasema kuwa anataka nimuandalie mume wakechai, kwlei nilikuwa na muandalia, na walikuwa wanaonekana wanapendana sana, ila ndiohivyomwanamke analala chumba cha wageni kufanya ufuska wake na mwanaume analala pekeeyake, ila ukiwaona mpaka utayataman maisha yao, kwa maana wanapenda kutaniana sana, nawanaongozana kama kumbi kumbi….
Basi mwanamke akawa anataka kila kitu mm ndio niwe namgfanyia mume wake, sikujal sana, nikadhan kuwa Yule mwanamke labda ni mvivu sana, kuna ana mambo yake kichwan, nilikujakujua baadae…
Yule mwanamke alikuwa ni mchafu sana, kwa maana kuna wakat hata mume wake akiwahayupo nyumban alikuwa anaweza kuleta mwanaume na akalala nae mpaka asubuh na asijal lolote, na mume wake akija anajifanya kama hakuna lolote lile, na siku akifanya ushenzi wake, atajifanya anampenda sana mwanaume wa watu, na maskin nahisi hakuwah kugundua tabiazamke wake hata kwa bahat mbaya…..
Nilikuwa namuonea huruma sana Yule mwanaume, maana kila siku Yule mwanaume alikuwaanalalamika kuwa anataka haki zake, na mwanamke anajiliza kuwa ile siku alimuumiza sana, akimaanisha kuwa siku ambayo alimtoa bikra, nilikuwa nashangaa sana, kwanini alikuwa

anamuigizia mume wake, na vile alivyo na mwili mdogo unaweza ukaamin, kumbe ni kamalayakalichokubuhu kabisa yaan, na mume wake nahisi alijua ni utoto kumbe mwanamke alikuwanayake kichwani….
Siku moja Yule boss wangu wa kike aliwah sana kurudi nyumban kuliko kawaida yake, naalivyorudi mapema akanifata na kunambia nipike vyakula vizuri kwa maana alikuwa anatakakufanya surprise, na kwakuwa nilikuwa najua mambo yake, nikajua anataka kuwafanyia surprisema bwana zake, kumbe siku hio aliiandaa kwaajili ya mume wake, basi akajipodoa, akavaakimtego, na mwanaume aliporud nyumban akamvamia mke wake na kuanza kumkiss alafubaadae ndio akshtuka kuwa hakuwa pekee yake, basi ikabidi atulie, akala pale, lakin wakat wote alikuwa anamuangalia mke wake huku anatabasamu, nikawa na mmnasijkia raha nanamuomba Mungu ambadilishe Yule mwanamke na atulie na mume wake tu, kwa maanaalikuwa na mume mzuri sana…..
Basi kuna muda Yule dada akaingia na mume wake chumban, wakaniacha ukumbin natabasamu nikawa najiambia “ eee Mwenyezi MUngu naomba na mimi unibariki na mimi mume kama boss wangu, kumbe bana Mungu alikuwa anaitikia dua zangu bila mmmwenyewekujua yaan, kwa maana Yule mwanamke ni kama aliharakia kuolewa na hakuwa anatakakuolewa kabisa, ni kama hakuwa amemaliza ujana wake kabisa……
Basi baada ya wenye nyumba kwenda ndani kwa dakika kadhaa Yule bint akatoka na kuniuliza, “ vipi kwan bado uko sild…
Kiukweli sikumuelewa amemaanisha nn kusema kuwa nipo sild, ikabidi nimuulize kuwa sildndionini…
“ na maanisha umeshawah kulala na mwanaume hata mara moja? Akaniuliza…
Kiukweli nilikuwa nasikia aibu sana kumjibu, kwa maana kuna siku nilienda kumchukuliababayangu karanga kwa jirani yetu mmoja, alikuwa anasifika kwa tabia mbovu, ila Yule baba alilazimisha kunibaka, kiukweli sikuwa na uhakika kama amenitoa bikra au laa, ila nilisikiamaumivu makali sana na nikiwa namchukia mno, kiasi kwamba hata wazazi wangu walikuwa

wakinituma kwake, nilikuwa nakataa kwenda, na kila wakiniuliza sababu ya mmkukataa, sikuwah hata mara moja kuwaambia sababu ni nini…..
Ikabidi nimuhadithie yule dfada kila kitu, akasema “ safi sana, sasa kuna kazi nataka uweunafanya na nitakuongezea laki tatu kwenye mshahara wako, utakuwa tayar? Akauliza…
NAKUJA…

SARIA (hause girl aliebeba mimba ya boss) 4
HUSQER BALTAZAR
Aliposema maswala ya laki tatu nikakubali haraka haraka, kwa maana kwanza nalipowa laki moja, na nilikuwa naona kama ni mshahara mkubwa sana kwangu, alafu kwenye hio laki mojaniongezewe laki tatu nyingine, aisee nilikuwa najiona kama tajiri wa kufa mtu, kwa maanahizopesa zilikuwa ni nyingi sana kwangu……
Basi Yule dada akaondoka, na siku hio alilala chumban kwa mume wake, na mimi badosikuwaNapata usingizi kutoka na ugeni, nikashangaa kwenye kama saa tisa usiku Yule dada anakujana kunigongea mlango wa chumban kwangu, nikamfungulia na baada ya hapo akaingia ndani akiwa ameshika kitambaa, akanipa kile kitambaa na kunambia nipake sehemu za siri, nilishtukana sikujua kuwa ninachokuja kufanya ili nilipwe hio laki mbili ni hicho sikuwa najua hata hicvhoambacho alikuwa anataka nipake sehemu zangu za siri ni kitu gani, na nilikuwa naogopoakumuuliza, iula yalikuwa ni madude yanayoteleza, mwisho ndio nikaja kugundua kuwa zilikuwani mbegu za mwanaume ila kwa mara ya kwanza sikuwa najua kabisa …..
Akanitishi na mwisho akanambia kuwa ataniongezea pesa, ambapo jumla ya mshahara wanguutakuwa laki tano, nikakubali ila nikishingo upande, nikawa napaka kila siku mpaka nikazoea, nasikuwa najua kama kina madhara, na kwakuwa hakikuwa kinanidhuru so sikuona shida, baadaya kama miezi mitatu kuanzia nianze hilo zoezi kuna siku nilikuwa najisikia vibaya sana, Yuledada akanichukua na kwenda kunipeleka hospital, aliniambia kuwa sina ugonjwa wowote, ilaakanipa dawa nyekundu na za njano, akawa anasema kuwa ni zakujizuia ili nisipate magonjwa, kwa kuwa sikuwa na elimu sana nikakubali haraka haraka…
Basi tukarudi nyumban, Yule dada hakuwa anataka nifanye kazi yoyote ile, akamtafuta
mfanyakazi mwingine akawa anafanya yeye kazi, nikashangaa ni kwasababu gani anafanyavile, hapo alikuwa ananihudumia balaa, yaan mpaka ile ngozi ya umaskin ya weusi ikaondokanikawa na ngozi nzuri bala, yaan ukiniona utanitaman, nikanenepa na kumbe nilikuwa nashepubana ila ilikuwa imepotezwa na kula ugali wa mihogo sana (jokes )
Siku moja nikiwa zangu nimelala zangu chumban, nilikuwa napenda sana kula kuku, na sikuwanajua ni kwann, kwa maana nilikuwa najua ni hali ya kawaida, ila Yule dada alikuwa anawezakila siku akaniagizia kuku mzima na chips, nakula na juice yangu hapo utanitaka,nikawananenepa kama linguruwe…
Mara nikasikia maboss wangu wanagomban, sikutaka kuingilia, kwa maana ni muda sasawalikuwa wanaishi vzr, na sikuwa najua hata walikuwa wanagombana kwa sababu gani, kwamaana nilivyofika kwa mara ya kwanza nilikuta ugomvi wao, nashangaa unarudi tena, maraYulebaba akaja chumban kwangu akiwa na hasira kisha akasema “ ehee embu ongea ukweli nausema je nimeshawah kulala na wewe hata mara moja? Akauliza Yule baba, nilitoa machoilaYule bint akawa ananiashiria nikubali, ila nilishindwa kufanya lolote lile, Yule mwanaumealiponiona nipo kimya akauliza “ haya hio mimba ni ya nani? Kwa sauti ya ukali kidogo…
“ mimba ! niliongea kwa mshtuko mkubwa kwa maana hata mm sikuwa najijua kama ninamimba, na sikujua ni mwanini boss zayana alikuwa anasema kuwa nina mimba, kwa maanakwa kumbu kumbu zangu sikumbuki ka animeshawah kulala na mwanaume, sasa hio mimbanaipatia wapi mimi, nikawa nawaza….
NAKUJA

SARIA (hause girl aliebeba mimba ya boss wake) 5
HUSQER BALTAZAR
Yule mwanamke ambae ndio alikuwa mwenye nyumba akawa ananitolea ishara kuwa nikubali, ila nilikuwa naogopa, akasisitiza sana, na wakat huo Yule mwanaume hakuwa anamuangaliamke wake, akawa ananiangalia mm, ambae ameambiwa kuwa ametembea na mimi na ninaujauzito….
“ saria embu sema ukweli naomba ili usije ukaniharibia ndoa yangu kwa maana nampendasanamke wangu, na sipo tayar kumuacha, na namuheshimu sana, kwann unataka kuharibu ndoa

yangu jaman, akawa analalamika Yule mwanaumde, na Yule mwanamke alikuwa na wasiwasi sana, kwa maana alikuwa anaonekana kutaka nikubali, mara mama yangu akanipigia simu, ikabidi nipokee..
“ asante sana mwanangu, hakika Mungu amekupa boss wa kipekee sana, kwa maana amemtumia baba yako pesa ya kununua shamba, mwanangu naomba umtunze na nakuombeakila siku udumun kwenye hioo kazi, akawa anasema mama yangu, nikawa nawaangalia mabosswangu, nikamuona Yule mwanamke anatabasamu, nikajua yeye ndio kafanya vile, na amefanyamakusudi ili nikubaliane nae …….
“ samahan madam nilikuwa nikilala na mume wako kila mara wewe unapo hama chumba, alikuwa anakuja na kunilazimisha nilale nae, na mara ya kwanza akanibaka kabisa maanasikuwa nataka na nilikuwa nakuheshimu sana, akawa ananitishia sana ndio nikasema niwenalala nae, ila naomba unisamehe sana kwa maana nahitaji sana hii kazi nah ii mimba ambayoninayo ni mimba yake, nikasema, aisee Yule boss wa kiume akaniweka kibao mpaka nikajikutanaanguka chini kwa maumivu, kwa maana sikuwa nategemea, kisha akaniinua na kusema“ naomba usiniharibie ndoa yangu wewe bint, nakuomba sana usije ukanivurugia ndoa yangu, na naomba useme ukweli kwa maana sijawah kulala na wewe, na sio tu kulala na wewe, yaanhata kukutaman sijawah kukutaman, sasa kwann unanisingizia mambo kama haya, akawaanalalamika Yule mwanaume, mpaka akanifanya nianze kujisikia vibaya…
Yaan alikuwa ameoa mke shetani bila kujua, kwa maana Yule bint akawa analia kabisa kuwamume wakje amemsaliti kwa kitu ambacho alikuwa amekitengeneza yeye mwenyewe, akawaanajiliza sana, ila msimamo wa mwanaume ulibaki pale pale kuwa hakuwah kulala na mimi auhata kunitaman hata kwa bahat mbaya…………..
Nilikuwa namuonea huruma sana Yule mwanaume, ila sikuwa na nguvu za kusema ukweli, kwamaana nilikuwa nataman kuwaona wazaz wangu wakiwa na furaha, Yule mwanaume alikuwaanapambana kumbembeleza mke wake na kumuaminisha kuwa hajawah kulala na mimi, ilamwanamke akagoma kumuelewa kabisa, mwisho Yule mwanaume akawa anataka niondokeili ndoa yake isiendelee kuangamia…
“ weeee unataka mtoto wa watu aende wapi? , yaan hapa tunatakiwa kumuhudumia mpakaatakapojifungua na kupima DNA ya mtoto na tuthibitishe kuwa mtoto ni wako au sio wako, kwamaana mimi sikuamin kabisa, na mimi nutamtunza bint wa watu mpaka atakapojifungua,

akasema Yule zayana, Yule mwanaume hakutaka kuniona ila mwanamke akalazimisha, basi nikawa naishi pale, ila sikuwa na uhakika kama kweli nilikuwa na mimba au laa…
Ikabidi nimuulize boss zayana, alikuwa amemaanisha nn kusema kuwa nina mimba, ndioakanambia kuwa anashkuru sana, kwa maana yale mavitu ambayo alikuwa ananiambia nipake, zilikuwa ni mbegu za mume wake, so nina ujauzito kweli wa mume wake, sio siri niliogopasana, nikamuomba boss zayana kuwa tuutoe, ila akanambia nisijal kwani anataka anitengenezeemaisha mazuri, kumbe maisha mazuri yenyewe ni kuwa na mume wake, ila kuna wanawakeni hatar zaidi ya nyoka cobra…
NAKUJA


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote