YALIONIKUTA JESHINI
Basi mwenzenu nilikuwa nurse kwenye Kambi ya jeshi MOJA huko oljoro, sasa Mungu kanifinyanga finyanga yaan nina umbo flani hivi, siku hio nikiwa kwenye majukum yangu akaletwa mwanajeshi ana Hali mbaya, sasa wenzake wakawa wananiforce nimujudumie kwa kile kiwewe nikajikuta namchoma sindano vibaya akaanza kuvimba, nikapanic nikatoroka, nafika usiku baba ananisifia kwa kumuokoa yule mwanajeshi kumbe alijisaidia mwenyewe, nikaona msala umeisha kumbe alikuwa ananitetea TU wajeda wasije wakanitafuta ila alikuja kunipa adhabu hio sitakaa nisahau, baada ya maaadhabu yake akaniomba namba za simu na WAKATI amenitesa nimemuomba msamaha mpaka sauti ikakauka, ila baadae ndio akaja kuwa my wangu, kama unataka kujua kilitokea Nini naomba usikose simulizi ya nurse wa jeshi
NURSE WA JESHI 1
HUSQER BALTAZAR
Nilikuwa nimemaliza degree yangu ya kwanza ya uuguzi, sikuwa daktari kama daktari ila nilisomea nursing and midwifery, katika chuo cha makerere kilichopo nchini Uganda…
Baba yangu alikuwa ni mwanajeshi nchini Tanzania, hivyo niliporudi tu nchini akataka nikajishikize shikize pale jeshini nikiwa kama nurse kwa kipindi Fulani nikiwa naendelea kusubiri ajirfa, ambazo yeye ndio alikuwa ananifanyia mpango nizipate…
Nilikuwa ni bint mrembo sana, mimi mwenyewe nilikuwa nina uhakika wa hilo, sikuwa mweupe ila nilikuwa na weusi wa kuteleza, na sijawah kutokewa na harara wala chunusi kuanzia nimezaliwa, kwa maana nilikuwa sina hata doa moja kwenye ngozi yangu, na licha ya baba yangu kuwa na uwezo kidogo ila nilikuwa napaka mafuta ya mgando ya vasselin tu katika maisha yangu yote, nilikuwa na umbo maridadi, kwa maana nilikuwa na tutako twa wastani na hips zilizojichonga vizuri, na mungu hakuwah kunibadiki tumbo, kwa maana kituvu changu na cha yammy vilitofautiana rang utu, nilikuwa na kmiguu mziuri sana, na watu wengi walikuwa wananisifia kila wakiona miguu yangu, ingawa sikuwa napenda sana kuvaa nguo fupi, maana yote kwa yote nilikuwa ni bint wa kiislam, hivyo hata nikitaka kuvaa suruali, basi nilikuwa nikivaa suruali ya kitambaa na kamtandio changu cha kishkaji, ila mavazi yangu siku zote yalikuwa ni haya maabaya, na hata nilipokuwa natekeleza majukum yangu nilikuwa navaa suruali pana na shati ambalo likuwa refu linalopita magoti yangu…..
Pamoja na uzuri wangu ambao kila mtu alieniona alikuwa ananisifia ila sikuwah kudanganyika na maneno ya wanaume, maana niliendelea kushikilia msimamo wangu wa kuguswa na mwanaume ambae atakuwa ni halali kwangu…….
Basi baba yangu alitaka nikajishikize kwenye hospital ya jeshi, kwa maana ilikuwa ndani kabisa ya kambi ya oljoro mkoani arusha, na hilo halikuwa tatizo kwangu, ila nilipofika pale jeshini nilikuwa ni kivutio cha kila mwanaume rijal, maana kila alieniona alitaman kuwa na mimi, na niendelea kuwa na msimamo wangu ule ule, , maana sikuwa nataka kabisa kujiingiza kwenye swala la mahusiano…
Kama tunavyojua wanajeshi, wanakuwaga ni watu wa kazi, ila kuna muda wanataniana sana, sasa siku moja nikiwa naendelea na majukum yangu, nilisikia mmoja wa wanajeshi anasema “ huyu sasa ni demu wangu, muulizeni na akikataa nitafanya kazi zenu wote kwa wiki nzima, nilikuwa nasikia wanachokiongea, sasa mimi nikachukulia kama utani, hivyo walipokuja kuniuliza nikajibu tu “ ndio ni mwanaume wangu, na nampenda sana…
Mmoja wa wale wanajeshi akauliza, “ umenda nini kwa huyu mpuuzi…
“ he is soo gentralman, na mwanamke yoyote Yule ambae amekamilika hawez kukataa kuwa na mwanaume kama yeye, hivyo sidhan kama swali lenu lina mashiko yoyote yale, nikajibu….
“ wow bint una maneno matamu wewe, akasema Yule mwanaume ambae nilimtetea, na kiu kweli, sikuwa hata namjua jina na nilikuwa nina uhakika kuwa hata nay eye pia hanijui jina….
Basi wakaamin kuwa nina mahusiano nae, sasa usiku huwa baba yangu anakuja kunichukua, ila kuna wakati huwa haji maana huwa nina kazi za kufanya usiku….
Sasa siku hio niko zangu na majukum ya kufanya usiku, mara nikahisi mlango wa ofisi yangu unafunguliwa, sikuogopa nikahisi labda ni mgonjwa, nikashangaa anaingia Yule kijana ambae asubuh alikuwa ananisifia, kisha akasema “ unajua nakuonaga onaga tu mrembo, na watu wengi hapa wanakuzimia, embu nambie unaitwa nani?.....
“ naitwa ilham, nikajibu kwa ila sikuwa namuangalia, kwa maana nilikuwa naangalia karatasi ambazo nilikuwa nazijaza, maana kuna taarifa nilikuwa naziandika, na kuna muda nilikuwa niko busy na laptop yangu, kumbe Yule kaka amekaza macho ananitazama mpaka anatabasamu….
Nilipokuja kuinua macho yangu nikakuta ananiangalia sana, nikatabasamu maana ni kawaida yangu kutabasamu, nikasikia akisema “ aiseee wewe ni wangu, nitauwa mtu safari hii….
“ una maanisha nini kusema hivyo? Nikauliza maana sikuelewa kabisa alichokimaanisha, maana kwanza sikuwa hata nimetilia maanani chochote kile ambacho nimekizungumza mchana…..
“ maneno yako ya mchana yamenifanya niwe nakufikiria siku nzima, na uzuri wa sura yako na umbo lako vimezidi kunichanganya, naamin utakuwa mke mwema kwangu si ndio? Akaniuliza kwa sauti ya mkazo kidogo…..
“ nilidhani ni utani tu yale yote ambayo tumezungumza mchana, maana wewe mwenyewe unajua kuwa mimi na wewe hatujawah kuwa na mahusiano, na sitaki kuwa na mahusiano na mwanaume yoyote Yule humu, nimekuja kufanya kazi, nikasema kwa kujiamin…
Yule mwanaume akatabasamu kisha akasema “Imran ndio jina langu , na tumeshakuwa wa penzi kuanzia leo, usije ukamchekea mwanaume yoyote Yule na wala kumkubali mwanaume yoyote Yule, maana hautaamin nitakachokufanya, akasema Yule mwanaume kisha akaondoka zake….
Nilishangaa sana, maana sikukubali chochote kile alichokisema sasa nakuwa vipi mwanamke wake ghafla hivyo, ila akili zangu zikanituma kwamba ni utani tu, na huenda hajamaanisha alichokuwa anaongea, hivyo nikapuuza na kuendelea na mambo yangu….
Sasa asubuh ndio nilimaliza zamu yangu nikawa nataka kuondoka, nikasikia naitwa “ ilhamu, nikageuka na kukutana uso kwa uso na Yule mwanajeshi ambae alinambia anaitwa imrani kisha akasema “ njoo uwasalimie mashemeji zako jaman, yaan kambi nzima inatakiwa kujua kuwa mimi ndio nakumiliki ili wakuheshimu, akasema huyo imrani…
“ kwa kweli sikuwa nataka kwenda alipo, maana sikuwa nampenda na sikuwa nataka kuwaaminisha watu uongo, nikawa nataka kuondoka zangu, sijui alinifikia saa ngapi, nikashangaa nashikwa mkono kisha akaongea kwa sauti ya juu kidogo na kusema “ si mnajua wanawake hapa anawaonea aibu tu, utazoea taratibu ilham wangu, kisha akaninongoneza na kusema “ ole wako uniabishe na kujifanya haujanikubali, utaona kambi chungu, cheka haya cheka, akasema nikajikuta natabasamu kwa uoga kidogo kisha nikasema “ habari za asubuh…..
Aisee wale wajeda walishangilia sana, nikasikia mmoja anasema “ aiseee shemeji, wengine wakapokea na kujibu “ yaan ni shemu kama shemu, yaan shemu kama shemu, mwanangu embu mtunze shemu…
“ kweli shemeji, akasema mmoja kwa sauti kubwa na wengine wakaitikia, “ yaan ni shemu kama shemu, shemeji muheshimu mwanetu…
Sio siri nilikuwa nasikia aibu sana, maana haikuwa kweli kama nina mahusiano na imran, na sikujua kwanini alitaka kuwaaminisha uongo wenzake na wakati anajua kabisa mimi sijakubaliana nae, baada ya hapo akasema “ haya ngoja nimsogeze shemeji yenu nakuja, kisha akaanza kunisindikiza….
“ mbona unawaaminisha watu uongo, nikasema
“ aaaa naomba usiendelee kuongea, wewe nu mpenzi wangu na sitaki maswala ya lakin maana mimi na wewe tumeshaanza mahusiano kuanzia wakati ule ambao ulikuwa unanichombeza na kisauti chako hicho cha kichokozi mamaa, nakupenda….
“ ila mimi sijakupenda, nikasema
“ usijali utanipenda taratibu, akasema kisha akaniangalia na kunishika mkono kisha akaukiss na kusema “ haya safari njema naomba ukamuambie kapten kuwa nimekufa nimeoza kwa bint yake, kisha akaondoka zake…..
NAKUJA……
NURSE WA JESHI 2
HUSQER BALTAZAR
Nikajikuta nakuwa na wasiwasi mkubwa sana, nikarudi nyumban nikiwa na mawazo, baba yangu akanambia kuna kazi natakiwa kuifanya, na anaomba nimsamehe maana ameshindwa kukaidi maagizo ya mkuu wake, kwa maana kila siku nitakuwa naingia kazin asubuh alafu jion nitakuwa nafundishwa mbinu mbali mbali za ulinzi binafsi, akimaanisha natakiwa kufundishwa mapigano maana kuna kazi natakiwa kupewa….
Nilishangaa nikazi gani hio ambayo nataka kupewa mpaka nianze kufundishwa mazoezi, ila sikutaka kuhoji sana, maaana baba yangu ni wale wanaume wa amri, na akishatoa amri ni lazima ifatwe, na tumekuwa tukiishi hivyo kuanzia utoto wangu mpaka hapo tulipofikia, hivyo uwezo wa kusema hapana sikuwa nao kabisa….
Nikakubali ingawa sikuwa najua nitakuja kufanya kazi gani, basi baada ya kuongea na baba yangu, nilipitiliza moja kwa moja mpaka chumban kwangu, ambapo nilishinda nimelala, maana sikulala usiku kucha kutokana na majukum niliokuwa nayo, nakuja kushtuka nikakutana na messege mbili moja inasema “ umelala nini mrembo wangu, sasa kama kakazi kadogo kama haka unalala hivi, nikija kukupa kazi zangu za chumbani si ndio utashindwa kuamka siku nzima…
Sms yapili ilikuwa inasema “ yaan jana usiku nilikuwa nataman nikukule ila ndio hivyo tuko kambini na mzee wako ni mtu mkubwa, ila wewe bint unashawishi mno, jichunge sana kwaajili yangu, maana niliposema nitauwa mtu jua kuwa namaanisha….
Sikujibu sms yoyote ile, nikatoka nakuanza kutafuta chakula, maana kesho yake ilikuwa ni mapumziko yangu, hivyo nikala na kuendelea kwenda kulala, nilikuja kuamshwa na mama yangu, ilikuwa ni asubuh sasa, ambayo ilikuwa ndio siku ya mapumziko, nikaambiwa natakiwa kwenda kuanza mazoezi, hivyo nijiandae, sikuwa najua hata hayo mazoezi ni ya aina gani, nikavaa zangu gauni na mtandio, ila nilipotoka ukumbini nikakutana na sura ya huyo dada alikuwa kakomaa kama mti mkavu, akatoa amri na kusema “ nakupa dakika tatu uwe umeshabadilisha na umefika hapa….
Nilishangaa kwanini ananopa amri, kwani angesema tu nenda kabadilishe nguo angepungukiwa na nini, nikawa najiuliza nikiwa naelekea chumban kwangu, sasa nimefika chumban nikawa najivuta vuta, hapo najishauri nivae nini, nikashangaa mtu anapita dirishani kisha akarudha ngumi, nikachuchumaa maana niliiona, na kama nisingechuchumaa, uso wangu ungekuwa umeshavimba, alikuwa ni Yule mwanamke ambae anatakiwa kunifundisha mazoezi, akaniambia “ ni dakika tatu na sekunde ishirini sasa hivi, naona bado haujamaliza kuvaa, nakupa dakika mbili na nusu, nikikufata tena sijui kama utakwepa kisha akaondoka zake, nikajua ehee hii kitu imeshakuwa jau, nikavaa haraka haraka maana niliogopa kwenda kuharibiwa sura, kisha nikatoka mpaka alipo Yule dada, tukatoka nje, ila kwenye upande wa nyuma ya nyumba….
Akaanza kunkifundisha mazoezi, ila ilikuwa ngumu sana kwangu, maana kama mnavyojua mimi sinaga tabia ya kupenda vitu vigumu, hivyo niliona kama ananitesa, ila alikuwa ananifundisha kwa mojyo, na mwanzo nikiwa nakosea alikuwa ananiangalia, ila baadae alikuwa ananipiga kwenye viungio mpaka nachanganyikiwa, yaan kwa muda mfupi nikawa nimeshaanza kuchangamka….
Basi kesho yake jumatatu nikaenda kazin, sikukutana na imran na nilishkuru sana mungu maana nilikuwa namuwaza sana, ila siku hio nimekaa zangu sina hili wala lile, mara nikaona wanajeshi wanakuja mbio mbio, walikuwa wamembeba mwenzao juu juu, alikuwa amepigwa risasi ya mkono, nilishangaa maana sikuwah kusikia vita pale, nikajiambia kuwa huenda walikuwa kwenye mazoezi yao, wakanipa amri kuwa nikamuhudumie haraka haraka, yaan kwa namna ambavyo walikuwa wananilazimisha kwenda kumuhudumia nikapata kiwewe, nikamuingizi Yule kaka chumban, wakaanza kunipigia kelele, kitu ambacho kilianza kunipanikisha, maana walikuwa wanaongea kana kwamba mimi ndio niliosababisha mwenzao apate tatizo, sasa nikafanikiwa kumtoa ile risasi, ila nikawa sioni sasa dawa za kupunguza maumivu na nilikuwa natakiwa kumchoma kwenye mishipa, nikashangaa huyo mgonjwa kaamka, kisha akasema kwa sauti ya ukali “ unataka nife nini wewe…
Nikawa kimya, akatoa ile dawa ambayo nilikuwa naitafuta kwenye draw kisha akanipa na kusema “ kiss me au nitibu kabla akili yangu haijatibuka, sasa kwa wenge nikamchoma sindani vibaya, mkono ukaanza kuvimba, na hapo wenzake walikuwa wanapiga kelele wakitaka kujua hali ya mwenzao…
Nikapata kiwewe, nikatoka kwa mlango wa nyuma kisha nikatoroka zangu, maana niliona kifo kinaniita hivi karibun, nikamuacha mgonjwa akiwa pekee yake chumban mimi saa hio sipo natafuta namna ya kukimbia zangu, kweli nikafanikiwa kutoka nje ya kambi, na hakuna mtu ambae alikuwa na mashaka na mimi maana wengi wananijua…
Nimefika nyumban natetemeka balaa, nikapitiliza kulala zangu, maana hapo nasubiri baba yangu aje na taarifa kuwa nimemuuwa mgonjwa, maana sikuwa naamani kabisa yaan…..
Baba yangu amerudi nyumban kwenye saa mbili usiku, kisha akaniita, hapo nilikuwa natetemeka balaa, mkojo unataka kutoka kwa hofu, nikafika ukumbin nikamkuta baba yangu kakunja sura huyo kama ananidai vile, kisha akasema “ leo umejifunza chochote , akimaanisha kama Yule mwalimu wangu wa mazoezi amekuja au laa…
“ bado hajaja nikasema …
“ nimemuambia leo asije maana umefanya kazi nzuri sana, na jeshi zima linakupongeza kwa kumuokoa Yule kijana, nikabaki kutoa macho tu na kutaman kuuliza ni kijana gani, ila nikawa naogopa kuuliza…
“ kuna kijana alipata tatizo kidogo mazoezini ila ulipambana mpaka akakaa sawa, hakika sijutiii kukusomesha mwanangu, akasema baba kisha akasimama zake akaenda kukaa kwenye meza ya chakula maana muda wa kula ulikuwa umeshafika….
Na mimi kwa uoga nikaenda zangu kula, baba yangu huwa ukimfurahisha anakupa offer ya kutokufanya kitu, maana ni mzee wa amri, hivyo ukiona hajakupa amri zake ni kwamba anataka ufurahie maisha, basi akanambia sitaenda kazin kwa wiki nzima, natakiwa kujipongeza, yaan nilishangilia maana sikutaka kukutana na yule mjeda ambae nimemchoma sindano vibaya….
Basi kesho yake sikutoka kabisa ndani, na siku ya mbele yake nayo sikutoka kabisa, yuaan nilishinda nimelala ila siku ya tatu nikatika nikajiambia acha niende kutembea tembea ninyooshe miguu, sasa nyumba ambayo tulikuwa tunaishi nizile kota za jeshi, hivyo kuna sehemu kuna miti tu na majani, sasa katika tembea tembea nikashangaa nimepigwa taksi bega, nikashindwa kupiga kelele, nikashindwa kuongea maana aliefanya hivyo alikuwa amevaa t shirt nyeusi na suruali ya jeshi…
Nikaja kushushwa katikati ya maji yam to na nilituliwa chini kama mzigo, yaaan mpaka nikahisi kiuno kimetenguka na nilipoinua machon yangu ndio nikakutana uso na uso na yule mjeda ambae nilimchoma sindano vibaya, aiseee nilishtuka nusu kujikojolea, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ unabahati nimejisaidia mwenyewe sikutaka kukuangushia msala lakin lazima ulipie ulichonifanyia leo, ulijifanya unajua kukimbia si ndio, aiseee mimi huwez kunikimbia, akasema Yule kijana hapo nikajikuta natetemeka vibaya mno maana sikujua hata amepanga kunifanyia nini……
ITAENDELEA ………..
NURSE WA JESHI 3
HUSQER BALTAZAR
“ ilikuwa bahati mbaya, samahan sana kaka yangu, sikukusudia kabisa kufanya vile, nilikuwa naogopa, naomba unisamehe, nikaanza kujitetea…
Nikashangaa anacheka, aiseee alicheka sana kisha akasema “ ety kaka yako, kwa hio mimi ni kaka yako na wakati naweza kukuto*b* na ukabeba mimba yangu vizuri tu na ndugu zangu wasione kama nimefanya kosa, yaan unavyoniita kaka yako unanipandisha ukichaa wakutamani kuchungulia nanii ya dada yangu, niangalie kama inalika na nijaribu shoo nione kama naweza kupata ladha ambayo itanifanya nifikirie kuoa….
Alikuwa anaongea kakunja uso kama amekula ndimu vile, nikajikuta natetemeka mno, yaan nilikuwa nimekaa kwenye maji mpaka mkojo ukawa unanitoka kwa hofu, nikashangaa analeta dumu la kama lita ishirini akanipa kisha akanambia kuwa anataka lijae maji ndio adhabu yangu, nikaona kazi nyepesi tu, nikamuuliza, likishajaa maji utaniachia niondoke?...
Akatikisa kichwa kwa ishara ya kukubaliana na mimi, basi nikaona kazi nyepesi sana, nikaenda kulifata lile dumu kisha nikawa naelekea zangu mtoni, nikashangaa anafoka na kusema “ nani kakupa ruhusa ya kulifata hilo dumu, naona hauwez kufata amri wewe si ndio, alikuwa anakunywa maji ya chupa akanywa mpaka akamaliza kisha akachukua kile kimfuniko cha chupa akanambia kuwa “ hichi kifuniko ndio kitakusaidia kujaza maji kwenye hilo dumu, ikitokea dumu lime jaa mapema nitakuacha uondoke, tena utatoka hapo mtoni ukiwa unatembea kibata bata mpaka lilipo dumu ndio ulijaze ukiwa umebeba huo mfuniko kichwani….
Nilikuwa kama sijamsikia alichokuwa anakizungumza, maana inawezekana vipi nitembee kama bata alafu dumu akaliweka mbali kidogo, nikajikuta namuuliza tena kuwa “ umesemaje?...
“ nina uhakika nilichokisema umekisikia vyema tu, kama haujasikia fanya kama ulivyosikia kisha akaondoka zake na kwenda kukaa pemben kidogo akaanza kuongea na simu, “ wallah sikuamini, nikaanza kubeba yale maji kwenye kifuniko cha chupa ya Kilimanjaro kichwani na kutembea kama bata, aiseee alikuwa kama hanioni vile, yaan siku hio nilishinda nae pale mtoni, na nikilalamika kuwa nasikia njaa, alikuwa ananipa makopa, ile mihogo iliokaushwa na jua ndio nile, aisee nilikuwa nafanya hio adhabu nikiwa nalia mpaka macho yakawa mekundu kwa kulia, na alikuwa kama hajali vile, na kuna muda nikawa namuona kama katili vile, maana alikuwa kama hanioni vile, na wakati wote alikuwa amenikunjia sura akiwa na maana kuwa ni lazima nimalize adhabu ambayo amenipa….
Nilifanya ile adhabu kwa takriban masaa matano, hapo miguu inaniuma kama imechanjwa vile, nimeloana balaa, machozi yametoka mpaka yamekauka, dumu halikuwa hata limefika nusu yaan muda wote huo, nikaona nipige magoti niombe msamaha maana niliona kama sitofanikiwa kumaliza adhabu ambayo alikuwa ananipa…..
Nikapiga magoti kisha nikasema “ kaka yangu naomba nisamehe ilikuwa bahati mbaya tu, sikukukusudia kabisa kufanya vile…
Akaanza kucheka kwa sekunde kadhaa kisha akakunja sura kama kamanda muuaji na kusema “ kaka yako kuanzia lini na wakati naweza kukut*m*a na nisiwe nakosa, yaan nisihukumiwe na ndugu zangu wala serikali, embu acha kuniita kaka yako bana unanipandisha n*ege mimi wewe bint…
Niliona kweli hapa nimepatikana, nikajiuliza mbona wale wajeda wengine nilikuwa nawafahamu na sijawah kuwasikia wakitukana hivi, huyu mbona anatukana kama ameandikiwa matusi vile, anashida gani, nikaona nisiongee sana, maana licha ya kuloana na maji ya mtoni naweza kuongezewa na mvua ya matusi nikajikuta nimeloana zaidi, nikajikuta nimekaa kimya kisha nikaendelea na adhabu yangu tu, maana sikuwa na chakufanya zaidi ya kutumikia adhabu….
Muda wote huyu mjeda alikuwa busy na simu yake, ila wakati huu akawa ananiangalia sana, mpaka nikaanza kuona aibu, nikashangaa ghafla amekuja kuniinua kisha akasema “ umbo lako limekaa kimalay* lakin, nimilikishe nikusamehe….
“ unakichaa nini wewe, kama ni hio adhabu yako nitaifanya hata kama nitaondoka hapa saa sita usiku, naomba uheshimu mwili wangu tafadhali, nikasema kwa sauti ya ukali kidogo, nikasikia mtu anasema “ woyoooo unagomba kama unaguna, sasa mwenzio nilikuwa nasikia “ nitie babyyy, ohhhh taratibu basi, gomba tena nitimize hitaji la moyo wako….
Nikashusha pumzi kisha nikawa naenda kuchota maji kama anavyotaka maana sikutaka kuendelea kubvishana nae, nikashangaa ananisaidia kusogeza dumu kisha akasema “ sasa hivi usichuchumae uwe unacota maji ukiwa unainama ili umalize haraka mrembo…
Nilikuwa nimevaa nguo za heshima ila zilikuwa zimeloa na kufanya zichore mwili wangu mno, nilianza kuona aibu na kusema nitafanya adhabu kama alivyonipa mwanzo…
Akacheka kisha akasema “ nilikuwa na ndoto ya kumiliki mwanamke mwenye kiburi kama wewe, asante mungu kwa kunipatia mimi jamani, nikaona kizaa zaa hiki mungu wangu,sijui hata natokaje kwenye mikono ya huyu mpuuuzi, sikutaka kubishana nae nikafanya kama anavyotaka cha msingi nilikuwa nataka kuondoka pale…
Nikachota mara ya kwanza, na yapili, nikashangaa anazama mtoni kisha akawa ananisaidia kuchota na lile bobo alilokuwa anakunywa nalo maji, ni haya mabobo ya lita moja na nusu, akaanza kunisaidia kujaza lile dumu, ila kila dakika alikuwa ananigusa gusa, kwa maana alikuwa anafanya makusudi kuugusa mwili wangu, nilikuwa nakereka, ila baada ya dakika chache dumu likajaa, na lilivyojaa nikashangaa analiinua kisha akanimwagia yale maji mwilini….
Nilikuwa nataman kulia, maana hata kama ni adhabu hizi zangu zimezidi sasa, ila nilikuja kugundua lengo lake baadae, alikuwa anataka kuliona umbo langu vyema namna ambavyo limejichonga, kachota ,maji mengine kisha akanimwagia tena, akafanya hivyo kama mara tatu hivi kisha akaanza kuniangalia akiwa kalegeza macho balaa nikaanza kutetemeka kwa hofu kubwa maana nilihisi kama anataka kunifanyia kitu kibaya, akaanza sasa kunisogelea taratibu akiwa anakagua uso wangu vyema, nilikuwa natetemeka balaa kwa hofu….
“ simamaa unasogea nyuma umesikia mimi nikitombi*e au, simama nimesema, akaongea kwa sauti ya ukali mpaka nikajikuta nimesimama mwenyewe kwa uoga, nikaanza kulia upya maana nilikuwa namuogopa sana, na sikujua amepanga kunifanyia jambo gani lingine, nikashangaa ananopa taulo kisha akanipa na mfuko, sikujua hata alikuwa ameuficha wapi kisha akasema “ naondoka dakika chache hakikisha unabadilisha nguo haraka kabla sijarudi na kuanza kukutamani, nakuhakikishia nitakuba adhabu nyingine ila adhabu ya safari hii utakuwa unaipokea na miguno kisha akaondoka zake….
Sikutaka kupoteza muda na kuanza kubadilisha nguo haraka haraka, kulikuwa kuna tight na hijabu pamoja na mtandio mkubwa, nikavaa haraka haraka, na zile nguo zangu ambazo zilikuwa zimeloa nikaziiingiza kwenye mfuko na kweli baada ya kumaliza kuvaa nikashangaa mwamba huyu hapa, aliponiona akacheka sana kisha akasema “ hakika wewe ni mtoto wa kaptein kweli, nilijua utachelewa chelewa nije kukufaidi, ila upo vizuri, haya mrembo nipe namba yako….
Nilimuona kama amechanganyikiwa vile, yaan kwa yote aliyonifanyia alafu nimpe namba yangu si nitakuwa nimechanganyikiwa, nikajikuta nimesema “ sijaishika kichwan, nikashangaa ametoa simu yangu kwenye mfuko wake, akanambia “ najua haujui ni wakati gani nilichukua simu yako, na nina uhakika kuwa naweza kupata namba yako nikiitaka….
Nilishtuka sana, akawasha simu na ilikuwa na nyila, nikashangaa ananishika mkono na kuchukua kidole changu kisha akakiweka kwenye ile sehemu ya finger print na nywila ya simu yangu ikatoka, akaanza kuandika namba yake kisha akanibip, na akajisave kwenye simu yangu “ my lovely huby, kisha akanisave kwenye simu yake utamu wangu na alama ya kopa jekundu juu kisha akasema “ tumeshakuwa mwili mmoja……
Huku imrani huku mjeda cha matusi, sijui nani ni nani, usikose sehemu inayofuata na ukumbuke simulizi hii inapatikana kwenye link pekee….
Nakuja…….
NURSE WA JESHI 4
HUSQER BALTAZAR
“ kwanini unanifanyia hivi lakin wewe kaka, nikaanza kuongea kwa sauti ya majonzi…
“ aaaa nilishakuambia usiseme tena neno kaka, hapo kwenye kaka hapo badilisha na useme “ kwanini unanifanyia hivi mkunaji wangu jamani, mimi sio kaka yako bint tafadhali, akasema , nikajikuta nakuwa kimya tu, maana sikutaka kubishana nae….
Basi nikaanza kurudi nyumban na akawa nyuma yangu mpaka nikafika kwetu kisha akaondoka zake, nikapitiliza moja kwa moja chumban kwangu manaa mwili wote ulikuwa unaniuma sana, ila dada ewa kazi wa nyumban kwetu akajua kuwa sipo sawa, maana alikuwa ndio mtu ambae naweza kumuambia matatizo yangu,maana baba na mama yangu wote walikuwa ni wanajeshi, hivyo walikuwa ni watu wa amri sana, kiasi kwamba sikuwa na uwezo hata wa kupiga nao story mbili tatu…
Sikumzimulia chochote kile ila nikamuambia kuwa nilikuwa na njaa sana, na wakati huo huo akaenda kuniandalia supu na kuniletea, aiseee niliipiga kama sina akili nzuri, akaniletea na chapatti tatu nikapiga kisha nikaenda bafuni na kulala zangu….
Asubuh naamka nakutaka na sms kutoka kwa Yule mpuuzi ambae alinipa adhabu ikisema “ yaan nimeshinda nafikiria hips mchongoko wakati ambao nitakuwa nimekuinamisha Cuma mboga, wewe mtoto nikikupata nitakutia mpaka usahau jina la kwenu…
Nilishangaa kwanini alikuwa anapenda kutukana kiasi chote hicho, maana hawez kuongea sentensi moja bila tusi, sikujua ni kwanini alikuwa vile, na sio siri maneno yake yakawa yananikera sana, hivyo hata sikumjibu maana niliona kama ananichanganya tu hapa…..
Mara simu ikaanza kuita, namba ni ya Yule aliejisevu my lovely huby, yaan nikajikuta natetemeka nahata sikupokea simu yake, akatuma sms inasema “ nakuja na mzee wako hapo om, hakikisha unatoka nakuona kabla sijafanya ukichaa wangu…
Nikaanza kutetemeka na baada ya dakika kadhaa nikasikia mlango unagongwa, dada wakazi akaaenda kufungua, nilipochungulia nikamuona baba yangu anaingia na Yule kijana, nikajikuta natetemeka kwa hofu, mara nikasikia “ ilhamu njoo tutengee chakula…
Nikatoka kwa wasi wasi mkubwa kisha nikawasalimia, Yule kaka aliponiona akaachia tabasamu moja murua, kisha baba akasema niwaletee chakula, na sikuwa na namna zaidi ya kutenga chakula, lakin hapo nilikuwa naogopa balaa, nilikuwa nimevaa nguo pan asana, sikutaka umbo langu lionekane, nilipomaliza kutenga, nilienda kuwaita na kuwa karibisha kwaajili ya chakula, maana baba na mjenda cha matusi walikuwa wamekaa ukumbini na mimi nilikuwa nimetenga chakula dinning, huwa namuita mjeda cha matusi maana mpaka wakati huo sikuwa namjua jina lake…
Muda wote Yule kijana mpuuzi alikuwa anatabasamu tu, mara ikaingia sms kwenye simu yangu ikisema, “ leo umenibania sana nimekuja kuona hips mchongoko unajifanya umelificha, sasa hakikisha unatabasamu kila macho yetu yanapokutana kwa maana nitamuambia baba yako ulichonifanyia, ulitaka kuniua, na ukanikimbia badala ya kunitibu mpaka nikajitibu mwenyewe uone adhabu gani utapewa…
Sikujibu sms yoyote ile, na nilipomaliza kutenga nikaingia zangu chumban kwangu, maana sikutaka kuona hata kwa bahat mbaya sura ya huyu mpuuzi, maana nilijiaminisha kuwa, kila ninapozidi kumtazama ndio najizidishia nafasi ya kuota ndoto mbaya, maana nilikuwa namuona kama ibilisi mchafu ambae amekuja kwenye maisha yangu…..
Basi sikutoka kabisa chumban, na nikabadilisha jina lile ambalo amelisave na kuandika gaidi, kisha nikajitupa zangu kitandani, na kuanza kufikiria sijui nitakuwa na hali gani wakati ambapo nitarudi kazin, maana nilipewa likizo ya wiki moja, na kwa kipindi chote hicho sikuwah kuona sms ya Imran hata mara moja, na kiukweli sikuwa najua hata anaishi wapi na yuko wapi kwa wakati huo…….
Nikiwa nimelala mara nikasikia dirisha la chumban kwangu limefunguliwa, mara naona mtu anapenya, sio siri nilishtuka sana, na nilipomtazama vizuri ndio nakutana na sura ya Yule mjeda, yaan hata kabla sijaamka pale kitandani alikuja akaniparamia na kulala juu yangu na kuanza kunikiss kwa fujo, akanikiss pale, nikawa kama namkwepa, yaan sijui hata alikuwa anajiamin nini, yaan anakuja kuniletea upuuzi wake kwenye nyumba ya baba yangu, na anajua kabisa baba yangu ni mkuu wake, sijui alikuwa anawaza nini huyu mpuuzi, akanikiss sana mwisho akachukua simu yake akanipigia kisha akanipokonya simu yangu kisha akaangalia ni jina gani nimemsave akakuta nimemsave gaidi, aiseee alicheka sana kisha akanambia “ nilijua tu, ila uzuri ni kwamba mimi ni gaidi wa moyo wako, yaan siukatili ila nitauteka na ndio maana nimekupa adhabu ya busu maana nilijua ni lazima utakuwa umenikosea, na siku nyingine ukinikosea tena nitakupa adhabu kubwa zaidi, basi akabadilisha jina lile la gaidi na akaweka gaidi wa moyo wangu na imoje ya kopa jekundu juu, kisha akanirudishia simu yangu….
“ nimesikia kishindo, ilham upo sawa, nikasikia sauti ya baba yangu kutokea mlangoni, nikanyanyuka na kwenda kufungua mlango, nilitaman baba yangu amshuhudie Yule kijana, na mpaka wakati huo sikuwa najua hata anaitwa nani, ila nimeenda kumfungulia baba mlango, yaan sikujua hata aliondoka saa ngapi, maana nakuja kugeuza macho hayupo…
“ nimesikia kishindo huku chumban kwako upo sawa kweli? Akauliza baba akiwa anaaangaza angaza mazingira ya chumban kwangu…
“ ndio baba nipo sawa, nikajibu na baba akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akaondoka zake, alipoondoka nikaenda kufunga vizuri madirisha yangu, maana niliogopa yule kijana asije akarudi tena, kisha nikaenda kujitupa kitandani, mara nikashangaa sms inaingia na kusema “ nimeshafika kambin, ila hapa masaa yote imesimama maana nakumbuka tu joto lako, naomba basi unikosee tena nije kula tamu yangu, nikajikuta natoa msunyo kisha nikazima simu maana sikutaka kuendelea kuona sms yake, yaan niliona hata bora ubabe wa Imran hajawah kunifanyia ujinga kama huyu, kisha nikalala zangu…..
Kesho yake ndio ilikuwa siku yangu ya kuwasili kambin kwaajili ya majukum yangu, yaan nafika tu nakutana na pongezi za kutosha, moyoni nikawa najisemea mngejua kuwa nilikimbia baada ya kujua nimeharibu hata msingenipongeza, nikawa nacheka cheka tu kila nilipokuwa napewa pongezi………
Sasa nikafanya majukum yangu pale, kuna muda nikawa naenda kuchukua chai, nikaagiza niletewe chai, maana nilikuwa na majukum mengi kidogo,mlango wangu ukagongwa akili zangu nikajua ni Yule niliemuagiza aniletee chai, hivyo hata sikujisumbua kuinua macho yangu, akaweka chai kwenye meza yangu, nikawa bado busy na mambo yangu kisha nikashika kikombe cha chai na kuanza kunywa, mara nikasikia sauti ya kiume ikisema “ gaidi wa moyo wako nimefika hata kunisalimia huwezi, ndio nikasema niinue macho nakutana na Yule cha matusi, nilijikuta natetemeka mpaka nikadondosha kikombe cha chai chini kwa uoga…..
NAKUJA…………………
NURSE WA JESHI 5
HUSQER BALTAZAR
“ kuwa romantic ndio sijui ila usijal nitajifunza, ila punguza wasiwas sasa, maana muda sio mrefu naenda kuwa mume wako, sasa nashangaa utakuwa muoga mpaka lini na wakati unatakiwa kunizoea tu, maana hakuna namna zaidi ya kunizoea tu, akasema Yule kijana …
“ samahan sana kaka yangu kwani unataka ninin kutoka kwangu kwanini unanikosesha amani kiasi chote hiki lakin, nikaanza kulalamika…
“ nakutaka wewe, wewe mwenyewe unajua ni kiasi gani nakutaka sasa sijui kwnaini unaniuliza swali ambalo jibu lake unalo, alafu najua una matatizo wa kupotexa kumbukumbu ila sikuwa najua kama unasahau mapema kiasi hichi, sijui nikueleze mara ngapi kuwa mimi sio kaka yako, na hata ukiniita kaka usifikirie kama ndio utanikata mizuka yangu, wewe niite kaka mpaka uchanganyikiwe ila nikitaka utamu jua utanipa tu, maana mimi sipangiwagi chakyufanya na ninafanya ninachokitaka na sio anachokitaka mtru yoytote yulem haya mke wangu mrembo mimi naondoka zangu, na chai nyingine itraletwa, naomba unywe kwa utulivu, maana sitaki uje kukonda bure, na mahips mchongoko yakaja yakapotea ukaanza kunitia huzuni akasema yule kaka kisha akaondoka zake…
Kweli baada ya dakika chache nikaletea chai nyingine na safar hii ilikuwa ni chai ya maziwa na sio chai ya rangi kama mwanzo, nikaanza kunywa, nilikuwa na njaa na sikuwa na wasiwasi kama anaweza kuniwekea kitu chochote kile kibaya, maana pale ni kambini, hivyo sio rahisi kabisa kunidhuru….
Basi nikamaliza majukum yangu ya siku hio, sasa jion wakat nataka kuondoka nikashangaa mwamba huyu hapa, akawa anataka kunipeleka nyumban ila sikuwa nataka kabisa, maana nilikuwa na uhakika kuwa siwez kuongozana nae kwa amani,maana nilikuwa namuogopa mno, ila akalazimisha akawa anaenda na mimin nyumban, na wakat wote tulikuwa tunatembea tukiwa kimya kama mabubu mpaka tunafika nyumban kwetu…
“ wewe mwanamke ni waajabu sana, maana nina uhakika kabisa kuwa unaogopa hata kuniuliza jina langu, na wakati hivi karibuni unaenda kuwa mke wangu, akasema Yule kijana …
“ mke wako? Labda niwe nimechanganyikiwa, siwez kuolewa na mwanaume kama wewe, maaana sijawah kukupenda wala sijawah kuwa na hisia hata za bahati mbaya na wewe, nikasema kwa sauti ya kujiamin, kwa maana sikuwa nataka kweli kuwa karibu yake….
“ ni kweli umechanganyikiwa maana nina uhakika na hilo, na unajua umechanganyikiwa na nini, umechanganyikiwa na uoga mkubwa sana wa kuogopa kuwa mbali na mimi, na usijali siwez kuwa mbali na wewe hata iweje, najua utazidi kuchanganyikiwa pale ambapo nitakuonjesha penzi langu, utakuwa unanifata nyuma nyuma kama mkia, na wakati huo mimi nitakuwa naringa sana, maana umenitesa mno, sasa utakuwa ni wakati wako na wewe wa kuteseka, ila mke wangu kipenzi siku ukijisikia kuniuliza jina langu naomba uniulize maana ni jina ambalo lipo kiromantic sana na nina uhakika ukilisikia hautaacha kulifikiria, akasema Yule kaka kisha akanisogelea na kunikiss kwenye paji la uso na kuondoka zake….
Nimefika nyumban nikamkuta Yule dada ambae huwa ananipa mafunmzo ya kupigana na kujilinda ameshafika, sikutaka kupoteza muda na nikaenda kiuanza mafunzo, nikawa najifunza kwa bidii, maana nilikuwa na uhakika kama baba yangu amenifundisha haya yote ,maana lazima atakuwa na sababu zake za msingi ingawa sikuwa najua ni sababu gani…
Yule kijana hakusikta kunisumbua, na kila wakati alikuwa anataka kukaa karibu yangu, kila wakati alikuwa anataka bkuhakikisha natabasamu, alikuwa anataka kuhakikisha na mimi nayafurahia maisha ambayo naishi, maana alikuwa anapambana sasa kunifanyia mambo mazuri, ila kiukweki sikuwa nayaona maana tayari nilikuwa namchukia na kumuona kama mwanaume muovu mbele ya macho yangu, kutokana na adhabu na mateo ambayo amenipa….
Basi mazoezi yakaendelea na mwishoni nikawiva vya kutosha, siku moja baba yangu akaniita kisha akanambia “ naomba unisaidie kazi flani mwanangu,najua wewe sio mwanajeshi ila nimepewa maagizo kuwa nikupe wewe maana unaonekana kama utaifanya kwa iufanisi zaidi kuliko watu wengine, sasa ni hivi kuna kijana anaitwa “suleyman Othman nyungu, huyu kijana ni mmoja wa wanajeshi ila kuna mission alikuwa amepewa sasa kuna mtu ambae anatakwa kumfuatilia kwa ukaribu zaidi ili kuhakikisha kuwa nakjua kila ambacho anakifanya na ikiwezekana hata kulala nae nilale nae kama itabidi….
Nilibaki natoa macho kama gorong’ondo na sikujua kama baba yangu mzazi anaweza kutoa idhini ya mimi kulala na mwanaume kirahisi namna ile, na kunichunga kote kule ambapo alikuwa ananichunga, ikabidi niombe picha yak huyo mwanaume ambae natakiwa kumfuatilia, si ndio baba akatoa picha ya Yule kijana ambae alinipa adhabu na ananilazimisha niwe mwanamke wake, nilihisi kuishiwa nguvu na kujiambia, nawezaje kumshawishi mwanaume mwenyewe tabia mbovu kama huyu, ila nikatabasamu kisha nikamuambia baba yangu kuwa nitafanya hio kazi, lakin sikuwa na uhakika kama nitaweza….
Baba akanipa ki sound recorder kidogo sana na kunivalisha kama cheni, kwa maana chochote ambacho nitakuwa nazungumza nae kitakuwa kinawapa taarifa kuwa tunaongea nini, kesho yake akaja mwanamke mmoja alikuwa kama shangingi, nilikuja kugundua baadae kuwa ni wale wanajeshi wapelelezi, akaanza kunifundisha njia mbali mbali za kutega mwanaume, na sikujua ni kwanini walikuwa wanataka kumfuatilia huyu kijana wa watum yaan mpaka wanaamua kutumia nguvu za ziada na wakati kila siku yuko kambini…
Basi nikawa najifunza kila ambacho nafundishwa kwa utayari mkubwa sana, maana hata kama sio kwa faida ya huyo kijana suleyman ambae natakiwa kumpeleleza ila hata kwa sababu yangu mwenywe ule wakati ambao nitaolewa….
Basi baada ya siku kadhaa nikawa nimeshajua mbinu mbali mbali za kumteka mwanaume, na kingine nikaambiwa niingie kwenye kurasa ya dada mmoja anaitwa ummuh junaynah na nikapewa na namba zake za simu ili nikiwa nataka kujifunza jambo lolote lile kuhusu mitego na namna ya kumteka mwanaume basi nimtafute yeye, kisha Yule mwana mama akaondoka na sikuwah kumuona tena, na hata Yule mwanamke ambae alikuwa ananipa mafunzo ya kupigana, alikuwa anakuja kwetyu kwa siri sana, na sikuwah kumuona tena toka alipomaliza kunipa mafunzo……
Sasa siku hio nmekaa zangu chumban kwangu, sina hili wala lile, nikawa nahisi kama upepo unaingia kutokea dirishani, nikasema nikafunge dirisha, mara nikasikia sms inaingia kwenye simu yangu, nikajiambia kuwa natakiwa kuangalia ni nani ambae alikuwa anatuma sms, kuangalia ni imrani, akawa ametuma sms inasema “ ndio nimerudi kambini leo mrembo wangu, nina matumaini kuwa umenitunzia koutamu changu, nikajikuta natansamu maana niliona bora hata Imran kuliko huyu anaelazimisha mambo, sasa nikawa nasoma sms huku natabasamu na kuelekea lilipo dirisha, ile nataka kulifunga nashangaa mtu ananisukuma kisha akaingia ndani, kuangalia ndio Yule suleyman ambae nimeambiwa nimfuatilie, akaniangalia kisha akasema “ una soma sms huku unatabasamu, kisha akanipokonya simu akasoma ile sms ambayo Imran alinitumia kisha akanambia “ umenikosea tena, maana kila nikikutumia sms mm haujawah hata kutabasamu hata kwa bahati mbaya ila hawa maboya wako unatabasamu, lazima nikupe adhabu….
“ basi akanisogelea na kuanza kunikiss, maana hizo ndio adhabu ambazo amekuwa akinipa kuanzia alipoanza kunisumbua kuwa anataka niwe mke wake, ila hakuwah kunikula zaidi ya mipapaso ya hapa na pale na makiss yakutosha….
NAKUJA…..
SOMA MAELEKEZO
Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote