NICO (Penzi La Jambazi)

book cover og

Utangulizi

NICO penzi la jambazi
Ni simulizi inayomuhusu Sara, bint ambae alienda picnic na marafiki zake na kuanza kujipiga picha, mara Kuna mtu akawa amewazuia wasipige picha na Sara akamjubu nyodo Kisha akakusanya marafiki zake na kuondoka akijua yameisha...
Siku Moja Sara anakuja kukutana na yule mwanaume ambae alimjibu vibaya, alikuwa anaenda zake kula Bata na anatambulika kama Nico, Nico ni jambazi ambae anatafutwa mno, n wale majambazi wanaofanya issue Kubwa kubwa tu..
Ila Nico alipomuona Sara aliahirisha safar zake na kumbeba Sara begani na kutaka kwenda kumfundisha adabu...
Kweli alimchukua na kwenda kumbak*, anakuja kukuta Sara ni bikra na anajikuta anampenda Sara kuanzia siku hio na wakat Sara anamchukia mno, na kwa bahat mbaya Sara alipobakwa aliachiwa na mimba, na alipojigundua anataman kuitoa...
Je unadhan Sara ANAWEZA kuja kumpenda jambazi nico, na unadhan Nico ataruhusu Sara atoe mimba..
Usikose Kisa hichi Cha kusisimua

NICO (Penzi la jambazi) Sehemu ya 1.
HUSQER BALTHAZAR

Siku Moja tulienda ziwa duluti mkoan Arusha mm na marafiki zangu, tulikuwa tumetoka college inayoitwa datasky tukakubaliana kuwa siku hio twende picnic na hio picnic tukapanga iwe ni ziwa duluti, tulikuwa tumejipanga haswa kwa maana tulikuwa na vyakula vya kutosha pamoja na mpiga picha wetu tutakapokuwa pale ziwani....

Basi katika kufurahia, tukamuomba mpiga picha wetu aanze kutupiga picha, akatupiga picha Moja TU mara tukashangaa mtu katokea huko alikotikea na kushika camera Kisha akasema ondoken hapa..

"Wewe kama nani unarufkuza hapa, Kwan hili ziwa ni la mtu, si la Mungu Kwann unatupangia, nikasema kumuambia huyo mwanaume, tukashangaa anacheka kidharau Kisha akasema tena, "Leo mmekuja siku mbaya na hamtakiwi kupiga picha hapa, njoen siku nyingine ndio mpige hayo mapicha yenu...

"Watu wengine bwana kama wachawi vile, nikajikuta nimeropoka, aiseee nikashangaa nimewashwa kibao kimoja matata,mpaka nikajikuta nimedondoka chini...
Kile kibao kikatufanya tuogope na tukaanza kuondoka, mara tukasikia paaa kama mlio wa bunduki, sio Siri tulitetemeka na kuanza kukimbia bila mpangilio...

Tukiwa bado hatujatoka nje ya lile eneo kuna rafiki yangu Mmoja akanambia "Sara yule mkaka aliekupiga kibao yule anakuja, najua alinambia vile makusudi maana mm ukinifanyia jambo Huwa haliishi kirahisi...

Sasa nikiwa nashangaa shangaa si nikaona siafu, nikawaza Cha kufanya maana nilitaman ang'atwe na wale siafu maana ananipigaje, YEYE kama nani mpaka aniwashe kibao...
Nikapata wazo na yule mwanaume akawa anakuja upande ambao tuliokuwepo...

Nikamfata, alishtuka maana nahisi alijua kuwa tutakuwa tumeshaondoka eneo lile...
"Samahan kaka nilikuwa nakusubiri nikuombe msamaha, nikasema na yule kaka akaniangalia Kisha akacheka kile kicheko Cha kiroho mbaya Kisha akasema ...
"Sasa nimekuelewa na nimekusamehe ila mnapaswa kuondoka eneo Hilo haraka....

"Kweli umenisamehe, nikawa na sema na hapo tulikuwa tunaongea huku tunatembea kumbe nilikuwa nampeleka usawa wa wale siafu, na YEYE akipate pate, atanipigaje Kwan YEYE ni mzaz wangu mpaka anipige nikawa najiambia...

"Sina muda wa kujieleza eleza hapa embu potea, akasema na sisi tukaanza kukimbia kumbe pale aliposimama ndio kulikuwa na siafu, kulikuwa na majani so ni ngumu mtu kuona wale siafu kirahisi..

Basi yule kaka akawa amesimama pale anapiga simu kwa mtu kana kwamba anatoa maelekezo, na sisi tukakimbia tukaenda kumuangalia kwa mbali...

Aiseee siafu wakampandia tukawa tunamuona anavua shati anajikung'uta mara akavua suruali akabaki na boksa, hapo tukawa tunajuambia kuwa tumemkomesha tunacheka mm na shoga angu Mmoja anaitwa Stella..

Mara tukaona wenzie wanakuja na wakaanza kucheka, aliwakata jicho na kila mtu akanyamaza, maana tulihisi huyo kaka ni mkuu wa hao wenzie ambao walikuwa nae....

Sasa alipokuwa anajikung'uta kung'uta si akatuona, alitukata jicho sisi tukakimbia zetu, hapo tunajiambia tumewakomoa, kwa maana tuliamin kuwa hatutakaa tuonane tena...

Basi masiku yalienda na mm nikamaliza college, nikapata kazi Nazi hotel kama mpishi, nikawa nimemsahau kabisa yule mkaka aliejazia na nikaamin hatutakaa tukutane tena...

Siku hio nimetoka ZANGU kazin, nikawa napita yake maeneo ya fire naenda zangu nyumban kwa maana nilikuwa naishi nguzo mbili, mara nikasikia miluzi nyuma yangu, nikapuuzia na kuendelea zangu kutembea, mara nashangaa mwamba huyo hapa mbele yangu

"Za siku nyingi Sara, akasema si ndio kumuangalia vzr ni yule kaka ambae tulimuweka kwenye siafu kipindi kile tukiwa ziwa duluti, sio Siri nilishtuka sana, na aliona akacheka kidharau Kisha akasema "owww mrembo samahan kwa ujio wangu wa ghafla ila Nina zawad Yako, nikashangaa kanibeba taksi bega akamuingiza kwenye gari, nikaanza kulia maana nilijua nimekwisha ...

"Huyu Nina kazi nae, naombeni mniache nimshughulikie mm mwenyewe, akasema yule kaka na hapo sikuwa namjua hata jina ..
"Sawa mkuu, dereva wa hio gari akasema

Sio Siri nilikuwa nalia na kutetemeka mno, ila YEYE hata hakunizingatia...
.tukaenda kwenye nyumba Moja hivi, haikuwa nzuri sana Wala mbaya akanibeba akaniingiza ndani na wenzake wakaondoka zao....

Aiseee alienda kunitupa kitandani Kisha akanambia "nilikuwa naenda zangu kununua Malaya namshukuru Mungu nimekuona, utajuta kukutana na mm mrembo, akaanza kunivua nguo nikawa nalia, ila hata hakujal Kisha akanibaka .....
Akashangaa ananikuta bikra maana ni kweli sikuwah kulala na mwanaume hata siku Moja na mwanaume wa kwanza kulala nae ndio huyu kaka jambazi, aseee nilikuwa nalia ila YEYE ni kama alikuwa amechanganyikiwa akaanzaa kuniomba msamaha…




NICO (penzi la jambazi) Sehemu ya 2.
HUSQER BALTHAZAR

Basi nikaanza kunyanyuka na kutaka kuondoka akanishika na kuniambia " unaenda wapi?
"Achana na mm na naomba uachane na maisha yangu, nikasema nikiwa na ondoka huku nalia..
Nikashangaa amekuja kunipiga taksi bega Kisha akanambia "huwez kutembea vizuri ACHA nikupeleke nyumban...

"Una kichaa nini wewe, yaan baada ya haya ulionifanyia bado unataka kuongozana na mm, nakuomba plz achana na maisha yangu, nikasema nikiwa naondoka zangu...

"Hata iweje siwez kukuacha Sara, akasema akiwa bado kanibeba na mm nikaanza kupiga kelele kwa maana nilikuwa nataka anishushe chini..
"Huwez kushuka hapa utake usitake, na kwanza tulia akasema

Si nikaanza kumtukana akiwa kanibeba.
"Wewe mashamba nn, au umechanganyikiwa, yaan mtu sitaki unisogelee alafu unalazimisha kuwa karibu yangu, akili zako zipo sawa kweli, yaan najuta kukutana na choko kama wewe na nataman sana hata ugongwe na gari uvunjike pumb*...

Nikashangaa natupwa chini kama kimzigo Kisha akaniweka kibao, nikaanza kulia ...
"Hivi unajikuta nani wewe Malay*, nimeamua kuwa mstaarabu kwako alafu unaniletea mambo Yako, naweza kuwa mshenzi mpaka ukajuta kukutana na mm, ni hivi mm Sina mpango wowote na ww, hata ukienda kufia huko Wala sijali, ila ninachotaka kukuambia ni kuwa wewe sio special Wala Nini, ni kwamba Leo nimeamka vzr nikaona niwe binaadamu kwako, akasema Kisha akaanza zake kuondoka...

Nikaanza zangu kutembea huku nalia, hapo bado nilikuwa nachechemea na machozi ya kutosha yananitoka..
Alafu kingine sehemu ambayo nilikuwepo sikuwa najua hata ni wapi, kwa maana nilikuwa najitembelea TU bila kujua naenda wapi, maana SIKUJUA hata Nico alikuwa amenipeleka wapi....
Nikiwa natembea zangu taratibu saa ngapi nisiingie period, nilihisi kuchanganyikiwa na tayar Giza lilikuwa limeshaingia...

Katika kutembea tembea nikakutana na kijana wa kama miaka 30 hivi, nikamfata na kumuomba msaada, yule kaka aliona Hali yangu alanishauri kwenda polisi, ila sikutaka nilikuwa nataka kufika nyumban....

Kwa kuwa sikuwa naweza kutembea vzri akawa amenishika mkono, ananipeleka kwenye kituo Cha daladala, ila kabla hatujafika akaona duka akanunua Pedi akanipa...

Sio Siri nilijisikia aibu sana, ila nikapokea nikatafuta Chocho nikavaa ile Pedi,

Sasa wakat natoka nikashangaa yule jambazi kasimama na yule kijana wa watu, nilivyomuona nilishtuka mno, nikasogea mpaka walipo...
"Unataka Nini wewe firauni nikasema

Yule kaka ambae alienisaidia akaniuliza kama nafahamiana nae..
"Namjua ndio YEYE ndio alienifanyia mambo yote mpaka umenikuta hapa, yeye ndio alieni bak* kabla sijamalizia hio sentensi nikashangaa napigwa busu la moto kwenye lips nikajikuta nimeduwaa...

"Huyu ni MPENZI wangu, tumegombana kidogo kanitoroka so naomba usiingilie, akasema yule jambazi
Mara akatoa mtu akasema "bro Nico polisi wanakuja, asieee alinibeba juu juu ila kabla hatujaondoka tukaanza kusikia ving'ora vya polisi, nico akanibeba mpaka sehemu Moja ina jumba bovu, Kisha akaniweka kwenye Kona akawa anasoma Raman, lakin yule kijana Ambae alienisaidia alikuwa katulia, na wakat TUnamchungulia ndio akawa anatoa maelekezo kwa polisi, ila ule mtaa Nico anaufahamu vzr,.yaan ni kama sehemu yao ya kujidai, so polisi waliwasaka lakin hawakumpata hata mmoja, na wakat huo sisi tulikuwa tumekaa TU sehemu tunawaangalia....

Nilitaman kupiga kelele ila nisingeweza kwa maana nilikuwa namuogopa Nico hatar, sasa muda ambao polisi waliondoka nico akaanza kuniangalia...

Nikashangaa anautoa mdudu wake kwenye suruali, akaanza kushika shika, niliogopa sio Siri, ila hata hakunigusa akawa kama anataka kupiga nyeto YEYE mwenyewe kama mwenyewe, mm nikawa kimya namuangalia TU....

"Sara njoo akasema kwa sauti ya ukali
"Naomba unipeleke nyumban mm sitaki tena kukaa hapa, nikaanza kulia

Akacheka kidharau Kisha akanambia "baada ya kunipandisha mzuka unataka kuniacha, embu nisaidie kidogo,akasema nico nikajikuta naanza kuogopa mno..

"Wewe kamalaya kabikra embu nisogelee, akasema Nico nikakataa kumfata alipo
Nikashangaa ananifata mdudu wake ukiwa nje...

Sio Siri nilikuwa natetemeka sana, akasogea mpaka nilipo akawa ananiangalia huku anajishika shika TU, mpaka anafunga macho, yaan ni kama kule kunitazama TU ilikuwa inatosha kumrishisha ....

Akawa ananiangalia huku anaendelea na shughuli yake mpaka akamaliza, nashangaa ile anataka kukojoa akaanza kuita saraaa... Saraaa ...nakupenda saraaa owww, mpaka akafika..

Akamaliza akajifuta pale Kisha akanambia twende, basi tukaenda kupanda kwenye gari akanipeleka mpaka kwetu, hapo ilikuwa kabisa saa tatu usiku,na sijawah kuchelewa kurudi nyumban zaidi ya siku hio...........

Tumefika mama yangu alikuwa nje anawasiwasi mkubwa, akanishusha na kusema "mama mkwe nampenda bint Yako, naomba unitunzie na usimuulize chochote kesho mm nitakuja na maelezo yote, akasema Nico Kisha akaingiza mkono mfukon akatoa pesa sijui hata nishingapi , mama yangu akagoma kuzipokea akawa ananiangalia tu..

Nico akainama na kiziweka zile pesa kwenye miguu ya mama, maana.aligoma kuzipokea,Kisha akanishika mkono wa mama yangu akaubusu na kusema " nakupenda sana mama mkwe na Asante kwa kumtunza bint Yako,.Kisha akaondoka zake..

Yaan sio Siri kile kitendo Cha Nico kusema ananipenda kilikuwa kinanitia hasira sana yaan, mama yangu akataka kuziacha zile pesa pale, nikaona usinitanie kwann tuache pesa kizembe...

Nikaingia ndani nikaoga pale, mara nikashangaa sms inaingia kwenye simu yangu kutoka kwenye namba mpya inasema

"Yaan kila nikikufikiria dic* yangu inaamka, au umeniroga nn, maana naona kama siwez bila bila ww Sara, jiandae NAKUJA kukuteka tena unipe burudani

NICO (penzi la jambazi) Sehemu ya 3.
HUSQER BALTHAZAR


Nikaanza kutetemeka, yaan huyu mjinga mm nitamfanya je, nikajikuta Nina mawazo ghafla, nikiwa Bado nafikiria namna ya kumkabili Nico mara simu yangu ikaanza kuita, na nilipoangalia ilikuwa ni ile namba ambayo Nico alinitumia sms, nikasema sipokei, basi simu ikaita mpaka ikakata, akapiga tena, pia siku pokea....

Nikashangaa sms inaingia ina sema "mama la mama ni Nini, pokea nisikia sauti Yako ininyeg*she nilale zangu, laa sivyo NAKUJA hapo kwenu najitambulisha kwa mdingi kuwa mm ni jamaa Yako, na nakuteka mbele yao, maana naona kama umeniroga wewe kamalaya kabikra...

Nikajikuta naogopa na kwa namna Nico alivyo kuja pale nyumban sio ishu kwake, basi akapiga ikanibidi nipokee...
"Niambie mama la mama, yaan mwanamke flan hivi nakuelewa mpaka navurugwa, yaan na u gangster wangu wote kwako sichomoki, yaan wewe ni manzi yangu, na nikiwa na hamu zangu jiandae, kuanzia Leo sinunui Malaya tena na wewe ndio utakuwa kamalaya kangu, akasema Nico na mm nikawa kimya TU namsikiliza hapo hasira zimenipanda balaa.

"Sema kitu basi, na uongee kale kasauti ninachokitaka umesikia kabla sijafanya upuuzi wangu, akasema Nico..

"Nico , nikasema, nikasikia ameshusha pumzi Kisha akasema unaona sasa yaan ukiongeza maneno mengine matatu nalimwaga kojo, nikawa hata sijakumuelewa amemaanisha nini..

"Oi nitukane basi, au hata nichambe nataka kusikia hio sauti Yako mrembo wangu, maana kila nilikusikia jogoo ananisumbua, akasema

Nilishikwa na hasira nikaingia chumban kwangu, nikafunga mlango na kuanza kumporomoshea matusi
"Unataka nn fala wewe, hivi kwann unanisumbua kiasi hichi, kama ni malipo unataka niambie nikulipe KULIKO kunifanyia ukatilia ambao unanifanyia, nico nauchukia sana na nataman hata upate ajali ukafie mbele huko, nikasema ila WAKATI wote ambao naongea alikuwa kimya anahema kama jeneretor..
"Sara unanipee..ndaa, akawa anasema kama mtu anaetaka kufika kilele
"Nakuchukia sana, nikasema
"Ahhhh unanipendaaa, Sara unanipendaa, unanipenda Sara, ni lazima unipendee, ahhhh Saraaaa, unanipendaaa, shiiit unanipenda, ahhhhh NAKUJA saraaa NAKUJA, nitukane Sara wangu, nitukanee, akaanza kulalamika na Mimi nikabaki kimya maana kwanza nahisi alikuwa anapiga nyet* kupitia sauti yangu, na namshangaa anawezaje na wakat kwanza sikuwa naongea hata sauti lain...

"Una kichaaa wewe unafanya Nini, nico naomba achana na Mimi nikasema
"Ndio Nina kichaaa, Nina kichaa Sara, ahhhh Nina kichaa Sara, nakujaaa, nakujaaaa ahhhhhh, akaanza kulalamika mwisho akahema kwa nguvu, Kisha akasema Asante kwa penzi lako Kisha akakata simu...

Hivi mnamuelewa huyu mtu😀😀😀
Yaan nikajikuta nimeduwaa TU, yaan sikuwa namuelewa alikuwa anafanya nn..
Mara ikaingia sms na kusema "Sara wewe ni mtamu, hakikisha unautunza utamu wako kwaajili yangu mamlai, muhuni nimenasaka kwako na usijal maana najua unanipenda pia..

Nilijikuta nafyonza kwa hasira, mara mama yangu akawa ananiita maana aliniona kama sijaja nyumban vzr na Alitaka kuongea na mm..

"Nambie bint yangu kitu Gani kimekukuta, akauliza mama mara baada ya mm kutoka ukumbini

"Amenibaka mama, amenibaka, nikaanza kusema huku nalia, mama yangu alishtuka sana, Kisha akaniuliza na kwann amefanya hivyo, na ilikuwa je mpaka akakufanyia ukatili wote huo akauliza mama..

"Nilikuwa narudi nyumban mara kuna gari likasimama mbele yangu, akashuka huyu jambazi, Kisha akanambia lazima nilipie kwa nilichomfanyia, akawaambia wenzake kuwa YEYE ameshapata Malaya wake so wenzake waondoke, nilianza kukimbia, akanibeba juu juu Kisha akanibaka mama, mama amenitoa usichana wangu kikatili mama, amenifanyia ukatili mno, nikaanza kulalamika..

"Kwani mlishawah kukutana kabla, mama akauliza
"Ndio nilikutana nae kule momela, unakumbuka tulikuaga na kina debora siku ile, akaja akatutishia mm nikamjibu vibaya akanambia kuwa atanifundisha adabu, sasa ndio kanibaka mama, nikaanza kulalamika....

"Mungu wangu tunafanya je mwanangu, na anaonekana kama nimtu mkorofi sana, akasema mama yangu
"Nataman kuhama hapa, sitaki kuonana nae, nikajibu

"Ishu ni baba yako, Sina uhakika kama atakubali uondoke maana ni kweli hutakiwi kukaa karibu na huyu kichaa, mama akasema na mm nikakubaliana nae..

Basi maisha yakawa yanaendelea, na Nico kwa kama miezi miwili hakunitafuta nikajua ameshaachana na mm, nikawa namshukur Mungu sasa, kuwa hatiame nimeshaachana nae ,siku hio nimekaa zangu Sina hili Wala lile, mara ikaingia sms kwenye namba mpya inasema "wife
Ki ukweli sikuijibu..

"Hata kama unanichukia ndio hukuweza hata kunijulia Hali, mwenzako nilikuwa ndani so ndio nimetoka na kuangalia simu yangu sijakuta sms Yako hata Moja mama la mama, nimekumiss sana, NAKUJA basi hapo home nakuchukua tukafanye maelekezo, siunajua mwenzako kichupa kimejaa, na nilishakuambia kuwa wewe ndio kahaba wangu, ikaingia sms nyingine kutoka kwenye hio hio namba..

Sikujibu nikablock hio namba maana sikutaka mawasiliano tena na Nico...
Sasa mama yangu akaleta dagaa nipike, yaan nilipoziona TU nikaanza kusikia kichefu chefu, yaan nikajikuta naanza kutapika, yaan nilitapika, nilitapika mno, mpaka mama yangu akaanza kuwa na wasiwasi...

"Period Yako ya mwisho umeiona lini, mama akauliza, si ndio nikasema nikuambie kweli miezi miwili ilipita bila kuona period..

"Mungu wangu Sara una mimba, akasema mama nikajikuta naanza kulia..
Wakat huo huo mama yangu akatoka na baada ya kama dakika 20 akarudi na kakitu, akanipa na kakopo Kisha akasema, nenda kakojoe kwenye hicho kikopo alafu uingize hicho nilichokupa alafu utaniletea majibu...

Basi nikaenda kufanya nilichoelekezwa, ila baada ya kutoka uani nikamkabidhi mama kile kipimo, nikashangaa anaanza kulia..
"Una mimba una mimba mwanangu, mama akaanza kulia
Nilihisi kuishiwa nguvu nikakaa chini kwa mawazo sana nisijue Nini Cha kufanya...

Mara sms ikaingia na kusema "mama yako ameenda kununua kipimo Cha mimba mtu wangu kamuona, kama una mimba nambie tu, nitailea, sms ikawa inasema hivyo

"KULIKO nizae na wewe Bora nife bila mtoto maisha yangu yote, nikasema .

"Weee Sara ... Usitoe mimba yangu.. kama Mungu akileta mtoto analeta sahani yake, nakuomba wee Sara usitoe mimba yangu eee, kama Mungu akileta mtoto analeta sahani yake, ikaingia sms nyingine inasema hivyo nikajikuta natabasamu bila kutaka na kujisemea huyu kaka ni mwenda wazimu, yaan anafikiri mm nitalea hii mimba,labda niwe mwenda wazimu maana siwez ZAA na lijambazi Mimi, nikajisemea

Mara nashangaa inaingia sms, kuangalia ni sms ya muamala, kuwa nimepokea elfu 50 kutoka kwa Nicolas benjamini..

Kisha ikaingia sms nyingine inasema, hakikisha mtoto anakula chakula anachokitaka maana baba yake Nina uwezo wa kumuhudumia..
Nikasunya Kisha nikasema angalau kanitumia mwenyewe hela ya kuitoa hio mimba , kumbe nawaza ujinga TU na kweli sikuwa namjua vzr Nico...


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote