UMESHAWAHI KULAZIMIASHWA KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU KWA LAZIMA..
Sasa mwenzenu yalinikuta, naitwa janeth ila mtaani walikuwa wananiita vera sidika kutokana na umbo matata ambalo nilikuwa nalo..
Nilikuwa muhuni sana kiasi kwamba sikuwa naangalia sura, nilikuwa natembea na wanaume wengi mpaka wengine siwakumbuki..
Baba yangu alikuwa general wa jeshi ila ukali wake kwangu ulifua dafu mpaka siku moja nilipojichanganya na kutembea na kijana mmoja anaitwa johnson, kunbe na yeye ni mjeda na kamanda wake mkuu ni baba yangu ila hakujua, huyu mwanaume anajua kulazimisha ila ndio mwanaume aliefanikiwa kunibadilisha kutokana na ubabe na ukali wake, unataka kujua utamu wa hii story upoje, naomba usikose mkasa huu wa kusisimua wa Binti wa general (vera sidika)
BINTI WA GENERAL (VERA SIDIKA) 1
HUSQER BALTAZAR
Kuna baadhi ya wanawake wanapitia mambo mengi ambayo yanawafanya wanakuwa watu watofauti sana, na wanakuwa na tabia za hovyo sana, na siku zote tusikimbilie kuhukum maana wengine tabia zao ni matokeo ya mambo ambayo wameshawah kufanyiwa kwenye maisha yao ya nyuma….
Naitwa janeth ni mtoto wa general wa jeshi, baba yangu ni mkali sana ila kwangu hadi alinivulia saLuti, nilikuwa na umbo zuri sana mpaka mtaani walikuwa wananiita vera sidika, kwa maana umbo langu lilikuwa limejichonga kama vera sidika kweli…
Nilikuwa bint wa kujirusha sana, akuna kumbi ya starehe isiyo nijua hakuna mtu ambae anapenda starehe asienijua, nikiwa kidato cha tatu tu nikaamua kuwa dancer wa club, yaan club zikawa zinanikodisha kwaajili ya kutumbuiza, pamoja na ukali wa baba yangu ila ni mara nyingi sikuwa nalala nyumban, na nikirudi namkuta mzee ananizubiri na mkia wa faru, alikuwa ananipiga mno ila nikipona tu nasahau na kuanza ufanya ujinga wangu kama kawaida….
Nilikuwa kama nina shetani maana sikuwa nakataa wanaume lakin kikubwa ni awe na pesa tu, yaan ukiwa na pesa ujue hunikosi, nilikuwa naweza kuwa hadi na wanaume kumi na nisijali chochote, kutokana na uzuri wangu wanaume bado walikuwa wananigombania sana, kila wakati walikuwa wanapigana kwaajili yangu na ikitokea nimeambiwa nichague mmoja sikuwa nachagua hata mmoja, na hayo ndio yalikuwa maisHa yangu…
Nilikuwa naweza kutumiwa nauli na mwanaume mwingine nikaenda mpaka alipo alafu nisilale nae yeye nikalala na jirani yake, nilikuwa najisikia vizuri kuona wanaume wanagombana kwaajili yangu, yaan ndio maana nilikuwa kama nina jinni ivi la kuwagombanisha wanaume, na imeshawah kutokea mara kadhaa wanaume kupigana kwaajili yangu na kuna hao ambao walikuwa hadi wanataka kuuwana na nikawaacha wapigane nikaondoka zangu kwa mwanaume mwingine, najua sio sifa ila naamin akili yangu haikuwa sawa kuna jambo ambalo lilikuwa linasababisha mpaka nikawa vile….
Wazaz wangu walikuwa wanaumia sana kutokana na tabia zangu, kuna muda walikuwa wanataman ata niolewe tu, na kuna muda baba akasema siku akinikuta na mwanaume basi huyo mwanaume ndio atakuwa mume wangu nitake nisitake, ila hawajawah kunikuta hata mara moja…
Kuna tukio lilinitokea sio kama nasimulia kwa sababu napenda ila ni kwa sababu nataka tujifunze tu, siku moja kuloikuwa na mpira wa simba na yanga kwenye viwanja vya mwalim mkapa, sasa nikaenda pale nikiwa nimelewa, maana kunywa pombe haijawah kuwa tatizo langu hata mara moja, nilikuwa naweza kunywa mpaka nikabebwa niwe sijitambui kabisa…
Sasa nikawa naleta fujo sana uwanjani, kumbe kuna watu walikuwa wananilia time, baada ya mechi kuisha nikaanza kukata viuno hadharan na vile nilikuwa na umbo zuri basi walikuja wakaka wanne wakaniingilia wote tena hadharan mbele za watu, hapo mimi akili yangu yote ina pombe nikawa nacheka cheka tu kama chizi hivi….
Zile taarifa zikawa zimesambaa mtaan mpaka zikawafikia wazaz wangu, nakumbuka baba alinifata akanambia “ kuanzia leo wewe sio bint yangu, maana siwez kuwa na bint mwenye maadili mabaya ivi kama wewe, wewe sio bint yangu na nisikuone kwangu hata kama ukiwa umekufa…
Nilikuwa kama nimerogwa maana hata hizi kauli za baba hazikuwa zinaniumiza kabisa, nikamwambia tu sawa…
Basi nikaendeleza maisha yangu, siku moja nipo zangu club, nikawa namuona mkaka mmoja kajazia huyo anakunywa zake maji taratibu huku akiwa ananiangalia sana, nikajua dhahiri kuwa amevutiwa na mimi…
Kwa madaha na manjonjo makubwa nikasogea karibu yake na kuanza kunengua, nikashangaa amenishika kiuno nikajua eeheee ameshaingia kwenye mfumo huyo, tukacheza pale akawa hataki kuniachia maana pale club yaan nilikuwa nikishikwa na mtu yoyote Yule mimi ni sawa tu….
Sasa mimi nikawa nacheza mpaka saa tisa usiku nashangaa mwamba yuko na mimi tu hataki mtu mwingine yoyote Yule aniguse, nikamnong’oneza na kumuambia una shingapi, Yule kijana akatoa kama elfu sabin kisha akaweka katikati ya maziwa yangu, nikaona ni sawa tu kama kucheza nae tu ameshanionga hivi, ngoja nipambanie kombe…
Basi baadae nikatoka nje nikashangaa mwamba ananiambia “ naomba namba yako…
Kwangu kutoa namba haikuwah kuwa tatizo, maana kwanza nataka nitiongwezwe nikubali alafu unitumie nauli nikatembee na rafiki yako kwa raha zangu, kumbe nimejiingiza kwenye chumba cha joto bila kujua, na alipo save namba yangu akanibip akaniambia save Johnson…
“ unajua na mimi naitwa nani? Nikamuuliza…
“ naona watu wote hapa waakuita vera sidika, nadhan nitakusave hivyo ili nisije kusahau, kisha akanitoa pemben na kusema “ staki kukuona tena club….
Nikaanza kucheka, yaan yeye mwenyewe amenikuta club alafu anakuja kunambia kuwa hataki kuniona club si wenda wazimu huo, nikamuangalia kisha nikasema “ au hautaki kuniona club kwa sababu nimekupa namba, kijana kula nyama nyamaza, kisha nikaondoka zangu….
Nimefika nyumban asubuh maana usiku kucha nilikuwa club, mara simu yangu ikaanza kuita kwa namba ngeni, nikajua madanga yangu nikapokea na kile kisauti change cha kumuingiza mwanaume kwenye kumi na nane zangu….
Sauti ya utulivu ikaanza kuongea na kusem “ Mimi ni Jackson tuliekutana club…
“ ohhh Jackson asante kwa unipigia, nikasema kwa saut flani ivi ya madeko, na Jackson akacheka na kusema “ unacheza na moto kaza sauti hio…
Nikaona ehee nimeshaanza kumtoa kwenye mstari, na kinachofuata ni kukuchuna tu, ndio nikazidisha mwembembwe nikaanza kujiliza ile kama naguna hivi, nikasikia mwamba anashusha pumzi kisha akasema tena “ naona unataka kucheza na moto utakuunguza….
Na mimi wa saut ya puani nikajibu “ naweza kuvumilia maumivu ya moto yakiwa yanatoka kwako…
“ vera embu nambie upo wapi sasa hivi? Akauliza…
Kwa namna ambavyo chumba ambacho nilikuwa naishi kipo sikuweza kumuambia, kwa maana tulikuwa tunakaa chumba kimoja wanawake kumi nan ne, na wote tunajiegesha na asilimia kubwa walikuwa wanajiuza, hivyo siwezag kumuelekeza mwanaume sehemu tunayoishi maana ni aibu….
Nikataja lodge ambayo ilikuwa karibu na pale ambapo nilikuwa nakaa, akanambia anakuja, na baada ya kama nusu saa nikashangaa napigiwa simu naambiwa fungua mango nilishtuka, maana nilitegemea akikaribia kufika nitakimbilia zangu guest na atalipa yeye, ila naambiwa nifungue mlango wa chumba ambacho kilikuwa kama danguro……
Nikajifanya nina mawenge ya usingizi sijasikia, mara akaja shoga yangu mmoja akaniamsha na wala hata sikuwa nimelala kisha akasema “ danga lako hilo limekuja linakuita, nenda bana una bahat umepata danga kijana…
Kwa aibu nikatoka nje nikakutana na sura ya jonson ikiwa na tabasamu mwanana kabisa, akanifata kisha akanisalimia kisha akaninong’oneza na kusema “ haukuwa na haja ya kunidanganya maana mimi nipo kama jin, naweza kufika sehemu yoyote ile ambayo nataka kufika tena kwa dakika chache tu, hivyo leo ni lazima nitakupa adhabu…
Kwa sauti ya uoga nikauliza ni adhabu gani?...
“ utalala na mimi mpaka asubuh sasa kataa uone, haya chagua chimbo, akimaanisha ni guest au hotel…
Nikachagua lodge moja ambayo kulala kwa usiku mmoja ni kama elfu 90 nikaona namkomoa, kisha nikajiambia nikifika huko nitaagiza vyakula mpaka alie, kumbe bana nilikua najikomoa mie, maana ni kama Johnson ni kama alishajua dhamira yangu hivyo alijipanga kabisa, sasa tumefika room akanambia “ nakumbuka mara ya mwisho ulinambia kuwa unaweza kuvumilia maumivu ya moto wangu nikajikuta nasisimka sana haya ngoja tuone kama unaweza au ni maneno mengi tu…
Nilishawah kulala na wanaume wengi ila nilijikuta naogopa sana…
NAKUJA………………..
BINTI WA GENERAL (vera sidika)2
HUSQER BALTAZAR
Mara nikashanga meza ya chakula inaingia kulikuwa na kila aina ya chakula, kulikuwa na kila aina ya kinywa, kisha Yule muhudumu akaondoka, Yule johnson akanisogelea kisha akanambia “ najua ulitaka kunikomoa kwa gharama, sasa utakula hapo na kama utataka chakula kingine utanambia mimi huwez kunikomoa…
Nkaanza kuogopa maana wanaume huwaga wanaogopaga gharama zangu, sasa huyu ni zaidi ya kiboko yangu, nikaanza kula taratibu, nay eye akala pale chap chap kisha akaniacha nakula, nikawa nakula taratibu ili nipoteze muda, na akibahatika kusinzia nitoke nduki asitegemee, ila mwamba akawa zake busy na simu, yaan nimekula masaa matatu kama sitaki vile…
Mara nikasikia “ najua umeshashiba haya nenda kaoge mimi nijilie zangu vitu vyangu, akasema…
Nimeshawah kulala na wanaume wengi sana, na kuna muda hata nilikuwa naweza kuchanganya wanaume, nimeshalala na wanaume tisa kwa siku moja na mungu huwa anatulinda sana watu kama sisi maana sijawah kupata maambukizi wala mimba…
Basi nikaingia bafuni, ila nlikuwa najikuta nina wasiwasi mno, yaan nilikuwa nina wasiwasi kupita kiasi kana kwamba nilikuwa ni binti bikra, basi nikaoga masaa mawili hapo navizia alale ila mwamba ni kama alikuwa amenipania, aisee hakuwa anasinzia hata kwa bahati mbaya, amekaa zake kitandani anachezea simu yake tu….
Basi kila nikichungulia halali, mara akaja pale mlangoni, ile nafunga mlango mwaba kashazama ndani, akaniangalia nilikuwa nimeshavaa kisha akasema “ nimekusubiria umalize kuoga alafu na mimi nioge nikaona hutoki, asante sana mke wangu kwa kujiandaa kwa makin kwaajili yangu, najua bado unataka kuendelea kuoga, hivyo naomba tuoge wote….
“ mimi nimeshamaliza kuoga, haya ingia uoge, nikasema kisha nikawa natoka zangu nje…
Johnson akaniangalia kisha akatabasamu na kuingia zake bafuni, akaanza kuoga nikajua ndio njia pekee ya kutoroka, nikaanza kuvaa haraka haraka nikasikia anasema kutoka bafuni kuwa “ hauwezi kunitoroka hata iweje wewe….
Nikaona ni utani, nikamaliza kuvaa, ile natoka nikashangaa nashikwa mkono kisha akanikumbatia kwa nyuma na kusema ‘ hauwezi kunitorokan vera sidika, hauwezi kuondoka kabla ya kutimiza dhamira yangu, mara nikasangaa ananicoma na kitu kumbe alikuwa anataka kunipima damu, nay eye akajipima na wote tukawa wazima akasema “ nataka kukukula kwa amani maana nakujua wewe ni mwingi wa habari…
“ aya nipagawise, akasema kwa sauti ya upole..
“siwez mimi nikajibu
Nikshangaa ananiinamisha kwenye masine yake kisha akasema isughulikie hio, nikakataa, akaniweka kibao kisha akasema “ ni lazima uisughulikie , nilivyopigwa kibao nikaanza kulamba koni, mwamba akawa anagugumia tu, yaan alikuwa hoi sio mchezo, amemaliza aka nilaza na kuanza kunishughulikia, yaan alikuwa hacoki, tulifanya karibu masaa nane, yaan ni mwendo wa kuunganisa tu, na akipanda anamaliza masaa mawili bila kumaliza…
Basi siku nzima nikawa nimeshinda nae, sikuwa nachoka maana sijawah kuchoka kwenye hayo mambo hata mara moja kwenye maisha yangu, sasa alipoona sichoki nikashangaa anaanza kupatwa na hasira, akaanza kunitukana na kuniita Malaya….
“ kumbe unajua kuwa mimi ni Malaya sasa ulikuwa unahangaika na mimi wa nini, n tangu lini Malaya akachoka utachoka wewe, nikasema…
Nikashangaa Yule mwanaume anacheka, akacheka sana kisha akanambia “ nimekupenda sana na siwez kuishi bila wewe, akatoa laki moja akanipa kisha akasema “ nitakutafuta siku nyingine, yaan sikuamin kama angeniachia nikaondoka zangu…
Nimefika geto sijaamin, niliona kama nitalala nae maisha yangu yote, nikaanza kuwasimulia mashoga zangu, kuna ambao wakanambia kuwa ni jambazi, na wengine wakasema kuwa nin gaidi na wengine wakawa wananiambia ni mjeda, wengine mpelelezi wa siri, basi kila mtu akawa anasema lake, kila mtu akawa ananishauri kivyake, sasa nikajua mambo yangu na huyo mwanaume ndiuo yameisha hivyo ila kumbe ndio kwanza asubuh…
Basi akakakaa kama miezi miwili akawa hata hajanitafuta, nikajua kila kitu kimeshaisha, basi siku moja nikapigiwa simu na namba ngeni, yaan niliposikia sauti tu, sio siri nilishtuka sana, nikataka kukata simu nikashangaa mtru anacheka kisa akasema “ hata kunijulia hali mke wangu kipenzi, auuijua nimekufa….
“ unataka nini kwangu Johnson, nikasema kwa sauti ya kujihami…
“ ni kweli haujui nina taka nini kwako, kama haujui basi sawa ngoja nikuambie, nakutaka wewe, yaan yale mauno yao ambayo ulinipa siku ile club nataka unipe tena umesikia, lakin sion club bali unipe chumban tena kitandani, na usinibanie kama ulivyonibania mara ya mwiso mamaa, na kuhusu swala la pesa hata usijal maana mimi ni muhongaji mzuri sana, akasema…
“ naomba leo iwe mara yako ya kwanza nay a mwiso kunitafuta, sitaki mazoea na wewe, sitaki ukaribu na wewe, nikasema kwa hasira kisha nikakata simu…
Sijui ni kwanini nilipoongea na Johnson nikajikuta naanza kupata wasiwasi, nikaona poale ambapo naishi hapanifai kabisa, nikasema ni lazima atakuja ambapo naishi, nikampigia simu soga yangu mmoja, alikuwa anaishi huko bagamoyo na kumuomba niende kwake, akakubali kabisa, na mimi huyo nikaanza safar zangu, niliona ni bora kuondoka kuliko kukutana na Johnson…
Basi nikawaaga mashoga zangu pale ambao nilikuwa nakaa nao na safari io ikaiva, nikawa nawasiliana na rafiki yangu ambae nilikuwa naenda kwake, na akawa anaonekana kunipa ushirikiano vzr sana, ila mwisho akawa hapatikan, sikuona shida sana maana nilikuwa napafahamu kwake hivyo niliuposhuka kwenye gari nikaanza safari, nikafika nyumban kwake kama saa moja jioni, nikabisha hodi, mara mlango ukaja kufunguliwa, aliefungua mlango alikuwa ni Johnson kisha akasema “ nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana mke wangu karibu ndani….
Sio siri nilishtuka sana yaan, maana niliona kama haiwezekan nimkute Johnson pale, nikahisi kudondoka, nikataa kuondoka…
“aaa aaaa unaondoka sasa unaenda wap na wakati ndio kwanza umefika kipenzi changu, akasema kisha akamfata shoga yangu akampa hela na kusema “ huyu leo halali hapa, na ataenda kulala na mume wake, nashkuru sana kwa ushirikiano wako, kisha akanishika mkono na kuanza kunikokota….
Nilikuwa na wasiwasi sana, nikamuangalia kisha nikasema “ unanifanyia nini wewe….
“ unauliza swali gani hilo mamaa, nakufanyia nini kwani ulikuwa unataka nikufanyie nini, kisha akacheka na kusema “ hata kama uende chini ya jua ukakae nitajua tu, usije ukajidanganya kuwa unaweza kunikimbia…
Wakati huo huo tukaanza safari ya kurudi kule tulipotoka, hapo hamu sina, yaan nimechoka mpaka roho,tulifika lodge maana ilikuwa ni usiku, ila siku hio hakunigusa kabisa mpaka nikashangaa, asubuh akanifata na kunambia “ naenda kazin ole wako utoke hapa, maana nilikuwa nakuonea huruma kwa sababu ya safari ndio maana sijakushika , kisha akaondoka zake….
Nikashangaa ata mlango hajanifungia, nikaona ni uhuru wa manyani huu, sasa kwa pemben ya lodge ambayo nilikuwepo kukawa na mzingi kwenye kama saa kumi kumi hivi, na mimi nikisikiaga mziki napagawa, nikatoka nikakuta kuna watu wanacheza, na mimi nikaenda kujiunga na kuanza kukata mauno….
Sasa kuna wanaume wakwere wakaja kunibambia, kiukweli sikuona shida maana raha ya kucheza upate wa kucheza nae, basi nikacheza pale na kuna mtu akanipa offer a pombe, aiseee ni kama alinifungulia, nikawa nacheza bila hofu, mara nikasikia paa, kumbe Yule niliekuwa nacheza nae akawekwa bonge la bao, akataka kuleta shida, Johnson akaanza kumshushia kichapo kisha akasema “ siku nyingine uwe makin na wake za watu, kisha akanishika mkono na kuanza kunikokota nikawa sitaki maana niliona na mimi naenda kuuwawa…
“ usitake kuona ukichaa wangu, tutaondoka kistaarabu au unataka nikudhalilishe, akasema Johnson, ikabidi nitulie na kuanza kuondoka nae bila vurugu lakin hapo naogopa vibaya maana sikujua amepanga kunifanyia nini….
NAKUJA…………
BINTI WA GENERAL (vera sidika) 3
HUSQER BALTAZAR
Akanipeleka mpaka pale lodge ambapo tulifikia, kisha nikashangaa anatoa nguo ambayo akataka nivae, ilikuwa ni gauni flani hivi maridadi la mpira, nikavaa na likanichonga mwili wangu vyema sana, akawa ananiangalia sana kisha akasema “ wewe ni mrembo sana, sijui ni kwanini hautulii…
“ achana na maisha yangu bana, yaan kila kitu unanifanyia kwa lazima tu, sijui unashida gani wewe mwanaume, nikajifanya na mimi ninamdomo, nikasikia mtu anasema “ sikujua kama unagomba ndio unakuwa na sauti tamu hivi, yaan mpaka umenipandisha hisia, haya gomba tena tumalizane sasa hivi maana nina uhakika nitasindwa kuvumilia sauti yako tamu ya mahaba..
Ikabidi ninyamaze, nikashangaa anawasha mziki kwenye simu kisha akaunganisa na zile spika ndogo na kusema “ haya anza kucheza mamaa…
Nikawa sitaki, maana niliona kuwa sitakiwi kupangiwa maisha, nikashangaa mwamba anacheka kisha akaniambia “ mbele za wale wapuuzi ulikuwa unakata viuno kama hauna akili nzuri, ila mbele yangu unajifanya unaogopa ogopa kama kabinti bikra vile, haya cheza…
“ sitaki, nikajibu kisha nikawa nataka kuondoka na tayari nilikuwa nimeshafungua mlango, nikasangaa mlango unabamizwa kisha nikawekwa kibao cha haja mpka nikadondoka chini kisha akasema “ naomba usizidi kunipandisha hasira zangu, yaan kucheza mbele yangu hautaki ila unataka kucheza mbele ya wale wapuuzi wenzako, ila wewe mwanamke ni waajabu sana jaman, akaanza kusema…..
Mara akaninyanyua maana nilikuwa chini nalia, kisha akaanza kunigeuza geuza na kusema “ una faa kabisa kuwa mke wangu, ila ndio hivyo una mawenge sana na wewe….
“ embu nipe burudani kidogo maana nilikuwa na hasira sana nilipomuona Yule mpuuzi amekushika kiuno, nilikuwa najisikia vibaya sana, haya sasa naomba unitulize hasira zangu mamaaa…
Safari hii sikubisha maana sikutaka kupigwa tena, nikaanza kuyarudi, basi nikacheza weee mwisho nikashangaa mwamba anasimama kisha akaja na kuanza kunishika kiuno, mara nikashangaa anaanza kubadilika na kuanza kunipapasa, alikuwa anaonekana ana hisia sana, maana alikuwa ananishika mpaka akawa anafunga macho kwa hisia kali sana kisha akasema kwa ile sauti ya mwanaume ambae amezidiwa na hisia zake kuwa “ ni kweli hauwezi kutulia janeth, vera sidika wangu….
Nikageuka na kumuangalia, kisha nikawa naongea kwa sauti ya kigugumizi maana kuanzia nakaa na johnson sijawah kuacha kuwa na hofu kuwa “ ku..ku..ku..tuli, kabla sijamaliza kusema ninachokitaka nikashangaa natulizwa na busu flani hivi la kunileta katikati…
Ikabidi nitoe ushirikiano, tukaanza kukiss, mwamba alikuwa anahema kama gari biovu vile, akawa anatetemeka sana mpaka nikawa nashangaa alafu macho yake yakawa mekundu, nikajikuta naanza kuogopa, ila hakutaka niogope akanitupa kitandani kisha akasema “ leo hisia zangu zimepanda sana naomba niruhusu nizitoe maana sijiwezi mamaa…
NAKUJA..
BINTI WA GENERAL 4
HUSQER BALTAZAR
Sikutaka kubisha maaana kama kulala na wanaume basi sio tatizo kabisa kwangu, basi tukajilia vyetu pale, ila nashangaa mwamba hachoki, yaan mpaka saa kumi na mbili asubuh na tumeanza saa moja, tumemaliza hapo kila mmoja wetu ana njaa vibaya mno….
Johnson akaenda kuoga kisha akanambia kuwa anaenda kutafuta chakula, ivyo na mimi nikaenda zangu kuoga…
Kweli baada ya dakika chache akarudi kweli na chakula, tukala pale maana ilikuwa ni supu na chapatti pamoja na matunda….
Tumemaliza kula akawa ananiangalia kisha akasema “ najua unajua kuwa wewe ni mzuri sana, sasa kwanini hautuliii mamaa…
“ maisha yangu sidhan kama yanakuhusu, naona umeamua kunifanya mateka wako ili ufanye mambo ambayo unayataka, ili unitumie, maana najua kilichokuleta kwako ni tama, haya nitumie ukimaliza niache niendelee na maisha yangu…
“ unataka uendelea na maisha gani, yaan ya kulala na wanaume wapya kila siku, au unataka uendelee na maisha ya kuishi kwenye cumba kimoja kidogo ambacho mmejaa Malaya watupu, au nikuache uende ukawe mcheza mziki kwenye mabaa na maclub na kila mwanaume anaekutaka akushike shike atakavyotaka akaanza kusema Johnson ….
“ kwani inakuhusu nini,maana wewe mwenyewe hauniridishi, so acha nikatafute wanaume wanaujua kazi na sio wewe…
“ una sema nini wewe? Akauliza akiwa ametoa macho, nikavuta mdomo kisha nikakaa kimya, aiseee alinifata akanivamia, yaan maandalizi ambayo alinifanyia sku hio sijawah kufanyia kuanzia nazaliwa, yaan nilipiga kelele kama naibiwa, nilishindwa kujizuia kufanya jambo lolote, nilikojoa mpaka dhambi, tumemaliza apo sikuwa naweza hata kujisogeza, nikapitiwa na usingizi hapo hapo….
Nimekuja kuamka namuona Johnson amekaa zake pemben yangu lakin yuko busy na simu yakje, nilipoamka akawa kama hajaniona, nikaenda uwani kisha baada ya hapo nikaoga kabisa, nilipotoka akaanza kuniangalia kwa matamanio kisha akasema “ una shawishi sana jaman ila tatizo lako kiwembe sana, hivi hauwez kutulia na mwanaume mmoja wewe…
Nuliogopa hata kumjibu majibu yangu ambayo huwa nawajibu wanaume wengine maana nimeshamuona kichwa chake hakikogo sawa, hivyo nikakaa kimya, akanisogelea kisha akaanza kuniangalia usoni kwa kama dakika moja na baada ya hapo akanambia “ lazima nikuoe, sasa nikuambie kitu kimoja tu, kama hauwez kutulia au labda ukitongiozwa hauwez kukataa, basi kaa ndani na usithubutu kutoka nje, maana nina watu wangu ambao wanakusubiri utoke tu wanipe taarifa, na ukijichanganya ukawa karibu na mwanaume yoyote Yule jua hana bahat, na wewe pia utajuta kwa kila kitu, maana nitakacho kufanyia utakuja kusimulia ukoo wako wote , kisha akanambia “ unataka kula nini maana nina uhakika una njaa sana apo ulipo…
“ nmeshiba, nikajibu…
“ kwa hio unataka nimeshiba yenye pilipili au chachandu..
Alivyosema hivyo nikajikuta nacheka maana sikutegemea kama atanijibu vile, nikasikia anasema “ muone na vishimo vyake kwenye mashavu, ila wewe mtoto lazima utatulia na mimi utake usitake na ukileta ukichaa wako utajuta, maana hautaniacha na nitakunyoosha, hivyo salama yako ni kuwa mtiiifu na kufanya kila ninalolitaka ufanye, kisha akafungua mlango na kuondoka zake…
NAKUJA…..
BINTI WA GENERAL (vera sidika) 5
HUSQER BALTAZAR
Baada ya kama dakika kumi na tano akarudi kisha akanifata na kukaa pemben yangu kisha akasema “ nimeshakuagizia chakula, yaan nataka ule mpaka mzgo huko nyuma uongezeke, yaan watu wajue kuwa natunza chombo hicho, na siku hizi utabadilisha had mavaz sitaki habari za kubanwa banwa mimi, yaan nataka niushuhudie huo mzigo pekee yangu maana sio matangazo hayo…
“ mbona kama unanilazimisha lakin, nikaanza kusema ..
“ usipolazimishwa huwez kutulia wewe, yaan nataman hata ningekutana na wewe kabla, maana sasa hivi ungekuwa umeshanizalia watoto wa kutosha, akasema Johnson …
“ hivi wewe ni nani, kwanini unanipangia maisha lakin, yaan sina uhuru natembea kwa mashaka kwa sababu yako, nikaanza kulalamika..
“ kuhusu mimi n nani labda niongee vizuri, akasema Johnson, kisha akanisogelea na kuninong’oneza na kusema “ mimi ni mume wako, na sitaki kusikia ukasema kuwa sijui huna uhuru, sijui nakupangia maisha, sijui nini sijui nini, maana tutakosana muda sio mrefu, unataka nisikufatilie, unataka nisikupangie ili ukafanye ufuska wao, sasa ni hivi nitakupangia mpaka ulale masaa mangapi, mpaka idad ya matonge ambayo unatakiwa kula kwa siku, maana unajfanya mwenda wazimu wewe, na endelea kunipigia kelele kama sijakupa adhabu zangu, na najua unazijua, na kama unazifurahia unasema tu, akasema Johnson…
Baada ya muda kidogo chakula kikaja, akakipokea kwa bashasha kubwa, kiukweli nilikuwa najisikia aibu hata kula, kwa maana niliona atakuwa ananipa tabu zake tu, ila ni kama alijua kuwa nilikuwa na njaa, maana shughuli ambayo nilikuwa naifanya kutwa nzima nay eye haikuwa kazi ndogo, basi akatoka zake nje, na baada ya kutoka nikaanza kula, yaan sio njaa, ni kama nilikuwa nimefunga ziku tatu alafu ndio naletewa ftari sasa, yaan kulikuwa na chips yai mbiloi pamoja na kuku nusu, na juice ya matunda, nilifuta vyote yaan, nikabakisha juice kidogo sana yaan, nimemaliza apo nikawa nasikia joto vibaya mno, nikaenda kuoga kwanza, ile natoka nasikia mtu analalamika akawa anasema “ mwanamke unakula sana wewe jaman, nimeleta chakula changu na chako, ila umemaliza kila kitu, haya kama chakula hamna njoo sasa nikulule wewe….
Yaan nilijikuta nakuwa mpole, maana balaa lake nalijua, nikaanza kuongea kwa unyonge na kusema “ lakin haukunambia kama tunatakiwa kula wote na ulipoweka chakula alafu ukaondoka nkajua chakula chote ni changu, nikashangaa anaanza kucheka kisha akasema “ kama haujashiba naomba unipe ruhusa ya kukuongezea chakula kingine mamaa…
“ asante nimeshiba sana, naomba nitoke basi, nikasema kwa sauti ya uoga flani hivi……
“ unataka kutoka uende wapi, umekula hapa umeshiba, unataka kwenda kumalizia nguvu zako kwa wanaume wengine, embu acha upuuzi wako wewe, kaa hapo, na kama unataka movie nambie nikakuletee na sio unambie habari za kutoka hapa….
Ikabidi nitule, na kiburi na jeuri yangu yote nikaweka mfukoni, maana nikijitia ujuaji tu, ni lazima kitanikuta kitu…
Basi siku hio tulikaa pamoja a kesho yake napo hakutokan kabisa alikuwa ni mtu wa amri sana, kama askai jeshi, ila alikuwa hataki nimuogope, hivyo akiona amenipa amri flani na nimeogopa hivi, akawa anaongelesha kwa upole na hapo kidogo nikawa natulia…
NAKUJA…
SOMA MAELEKEZO
Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote